MJINI SHULE!!
Chizi kaokota elfu kumi MGOGO mmoja aliekuwa anapita zake akamuona
MGOGO; oya samahani hicho ni kitambulisho changu!
CHIZI: Wewe hata kama sina akili vzuri hicho sio kitambulisho ni...
Kuna kipindi JF ilikuwa hot kulikuwa na wanyange hatari...hawa walikuwa mauaridi ya jukwaa...ikafika mahali kukawa na miss JF
Halafu kikapita kipindi cha mpito...wengi wakabebwa zikawa ni ndoa...
kuna docta alitangaza anatibu magonjwa yote kwa tsh laki moja,na kama akishindwa kukutibu anakurudishia lak yako na anakuongozea laki nyengine
Mchaga akaona hii fursa yakujipatia hela akaenda...
Muigizaji mkongwe Ray ameleta mapinduz kwenye mkorogo baada jana MH DR.JOHN POMBE MAGUFURI kukubali SUDAN KUSINI KUJIUNGA EAC mh nape nnauye amekubali kuboresha maisha ya wasanii akipeleka kilo...
MTOTO: Baba kuna tofauti gani kati ya kilichopo katikati ya mapaja ya mama na mapaja yako?
BABA: Kwa mama yako kuna geti la kuingilia PARADISO. Na kwangu kuna ufunguo wa kufungulia hilo geti...
SWAGA ZA WADADA ZETU ILI WAONEKANE NAO WAMO HASA WAKITOKA USWAZI WAKAWA WAMENDA OUT MITAA YA USHUANI
1. Halima - Muhudumu naomba unilete salad ya moto, na chupa ya Amarula.
2. Chausiku - nipe...
Jamani kwa wajuzi wenye kujua sehemu ambapo mdudu wetu tumpendaye anapopikwa vizuri na kwa usafi hasa kwenye mikoa yetu maarufu kama Dar, Dodoma, Mwanza, Arusha na mengine..watujuze ili na wengine...
hivi siku hizi ili joto la hapa mjini Dar kweli kwa sisi watu wa manzese, magomeni, mwenge, buguruni na maeneo ya mbanano . show za kibabe za kugegedana au kwichi kwich zinapigika kweli maana...
Ilikuwa Jana mida ya saa kumi jioni nilivyotoka kazini nikakuta nyumbani kunawageni shemeji zangu wawili na mama mkwe pia alikuwepo mzee Abdallah jirani angu.
Basi bwana,nikafika nikawasalimu...
Siku moja katika darasa la jioni la watu wazima, mwalimu wa saikolojia aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi;
"Nataka tucheze mchezo, mtu yeyote yule naomba ajitolee aje hapa mbele"
Mwanamke...
Huwa nacheka sana misemo na majibu ya makondakta:
- Shemeji twende ya kuwahi kaka kesha rudi.
- Konda kuna siti? "Siti zipo ila wenzio wamekalia"
- Mama mkwe kamata bomba
- Oyaaa, wakusoma...
Ukoo wa Kinyakyusa uliofanikiwa kuingia mwaka 2016
1.MwakaLindile
2.Mwakalebela
3.Mwakanyamale
4.Mwakajinga
5.Mwakapusye
6.Mwakasege
7.Mwakalundwa
na leo kazaliwa
8.Mwaka MPYA