babu kaibiwa nauli kwenye basi,akanza kutangaza 'jamani aliyeiba nauli yangu arudishe sasa hivi kabla sijachukua uamuzi kama wa mwaka juzi'mwizi akaogopa na akarudisha ile nauli.
baada ya hali...
Fwd:
UTANI WA WACHAGGA.!!
Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-
1. WAROMBO; Hawa wajanja sana kibiashara/wezi pia. wanapenda dili za magendo. Ni walevi sana hupeleka...
RIWAYA YA KIPELELEZI: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA KUMI
ILIPOISHIA JANA
Abdul nae alianza kutetemeka mwili mzima kwa hofu. Alimwangalia...
TO: Nyani Ngabu
You are …. My Soul …… My Mahalat………. My Sushii… My Morning Breeze…….
Just tell me………………………..
How deep is your love (You should know!)
How deep does it go
How deep is your love...
RIWAYA: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA TISA
ILIPOISHIA JANA...
Itakuwa ni kundi moja kama siyo muuaji mmoja. Lakini awe mtu kiwe kikundi...
jamaa kenda kutembelea ukweni,baada ya muda akaona kuku anakimbizwa akajua ni maandlizi kwa ajili yake,kwa kiherehere chake akaropoka 'msiweke mchuzi mi napenda wa kukaanga'mama mkwe akajibu
huyu...
Hizi ndizo dalili kuu za mtu anayeanza kukata network baada ya kuondoa na safari kadhaa za ulabu
Alikua anaongea kawaida tu lakini taratibu sauti inapanda
alikua anaongea kiswahili ataanza...
Tutegemee hilo nalo kuibuka kwenye bunge la mwezi wa nne. "Mh. Spika tunapozungumzia wawindaji haramu hata Yanga wanahusika, tumeshuhudia wakiua Simba uwanja wa Taifa na hakuna hatua zozote...
I HAVE A DREAM: "ONE DAY I WILL HAVE A BIG TECHNOLOGY COMPANY IN OUR COUNTRY AND THE WHOLE WORLD"
Watakutumia kama muwa na kukutupa kule usiwe na faida. Baada ya kupata wanachohitaji kwako...
RIWAYA: ANGAMIZO
MTUNZI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA JANA...
Maiti yake iliokotwa asubuhi katika uwanja wa mpira wa chuo ikiwa haitamaniki! Ngozi...
Zaidi ya kumaliza charge ya simu, kukudisturb wakati umezamisha mawazo yako katika shuguli fulani na kutumiana mapicha picha yasiyo na maana.
Sijawahi kuona umuhimu wa magroup ya Watsapp,jambo...
WIVU UNAPOZIDI NA KIINGEREZA SHIDA!!
Mzee baada yakufika home after work kachoka akamkuta Mkewe kanuna
Baba: Una tatizo ganii mama?
Mke: Mme wangu kwa kweli tokea upate hii ajira mpya nakosa...
Man United imefungwa na team ambayo jina lake utadhani SMS inajiandika yenyewe wakati simu iko mfukoni huna habari nayo na umesahau kuilock
#FCMidtjylland
Wanajamii habari zenu,
Ninauhakika kuna wanajukwaa wamewahi kusoma physics ambalo ni two in one yaani literature (laws and define) na mathematics (calculations ).
Zote hizo zimeundwa na...
Wavuvi wanaujua muziki wa pweza kumkamata ni kimbembe na ndio maana baadhi ya wavuvi uenda kwa kalumanzira hili kupata dawa ya kumdaka pweza.
Nasikia ukibugi akakuwahi your dead,maana ile mirija...
Wakuu tangu wiki iliyopita kila nikilala usiku naota nimeokota gunia la pesa, ila nikishtuka najikuta nimekumbatia pilow.
Je hizi ndoto zina maana gani?
RIWAYA: ANGAMIZO
MTUNZI: HALFANI SUDY
SIMU: 0674 395733
SEHEMU YA SITA
Mpende sana mama yako. Tuwaheshimu mama zetu. Tuwajari sana. Usimdharau hata siku moja mama yako. Mama ni kila kitu katika...
RIWAYA: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
CHUKI ni kitu kibaya sana. Siku zote chuki ina matokeo mabaya kwa wote, anayechukia na anayechukiwa. Tuache...