Nikiwa shule ya msingi ilikuwa mwalimu akiingia darasani namuona kama anakuja kucheza mpira nakumbuka miaka ya 2006 enzi za akina morison. Asa siku moja nikiwa bado sijaamka kengele ikagongwa ile...
Mada juu yahusika.
Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni.
Mara xax, Xmas, meme, ko n.k
Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika.
Sasa...
JF billionaires,ni listi iliyoandaliwa na kufanyiwa tathmini na kampuni ya JF FORBES.Kati ya wana JF waliopo ambao 139,790,matajiri 20 wanamiliki asilimia 90% ya utajiri wa JF wenye zaidi ya...
Salama, upo au ndio ivo tena umeme huu bora kibatari.
Sasa ni hivi kama ilivyo nadra kwa kanali kuogopa kinyonga, una kitambi unaogopa mende, una Nissan Murano, range halafu umepanga kirahisi tu...
Lovie umekuwa ni kipenzi si tu cha moyo wangu bali akili na mpaka vile visivyoonekana!.
Tabasamu lako ndio furaha yangu,mwili wako ndio tamu yangu na pumzi yako ndio uhai wa penzi lako kwangu...
Kwanza nashukuru MUNGU, Kwa kutuweka hai,
Napenda kuchukua fursa hii, kuwatakia kheri, ya Christmas na mwaka mpya
finacial sevises
mshanajr
jiwejr
mawardat
Zero IQ
Moderator
Na member...
If someone ask me when shall I stop loving and using JF, ask my intellect when will it stop learning?
I have one wish for Valentine’s Day To you all JF members
Tuingie front
Mwaka kenda nilikutana na binti flani maarufu tu bongo movie.
Kaumbika km malaika,binti wa kimarangu yule nadhani Mungu siku hiyo anamuumba alikua kaamka asubuhi kabisa hajachoka...
Kipindi hicho mwaka 2003 ndo ujana umechepuka na kuanza kukolea sitasahau hiki kisa ambacho niliwahi kukutana nacho
Katika mgahawa mmoja kuna kijana ameajiriwa pale kijijini,amevaa nguo vizuri...
Natoa offer ya kuwatoa out mabinti wa humu waliopo Dodoma kufurahia Valentine nami leo baada ya saa za kazi, unaweza kuja na rafiki yako au mwenyewe sina lengo lolote la ziada zaidi ya kupiga...
Tusiokuwa na Ma Valentine tuendelee Kujifukiza, Kuvaa Barakoa [emoji40] na Kuepuka Mikusanyiko.....Asanteni kwa kunisikiliza![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089]
Nenda kwa mshikaji wako wa kishua umkope sh' 50,000 Kisha muahidi utamrejeshea kesho jioni.
Akishakukopesha hiyo pesa Wala usiende kuitumia.Itunze vizuri afu mrudishie hyo hyo pesa kabla ya jioni...
Habari Wakuu
Huu ni uzi maalumu wa kutaja majina ya ajabu uliyowahi kusave kwenye simu yako.
Mimi binafsi huwa namsave mtu kutokana na mahali tulipokutana mfano tumekutana kwenye mwendokasi basii...
Habari waungwana.
leo nimeweka mezani kwa yoyote mwenye swali interest kuhusu wanyama wa porini.uzi huu ni muhimu kujifunza tabia zao maisha yao kama una swali linakutatiza jiskie free uliza kwa...