Habari wa JF.
Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi...
Inasikitisha mwanamke wa sasaivi ana lalia shuka two weeks na haoni shida kabisa wakati kwa kawaida shuka linatakiwa libadirishwe ndani ya siku tatu kama hakujatokea maangamizi ya kitandani lakini...
Tujuzane mapema una hisia na mimi za kunyanduana au umetamani tu wallet yangu sema mapema.. nijue.
Unakuja na Shobo nyingii unaonesha unanitaka alafu kwenye mizagamuo unasema tufanye kidogo 😥
Usikae kinyonge
Usisononeke. Maisha bado yapo na siku hazigandi. Unayopitia walishayapitia wengine wewe si wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho
Pita hapa uone pia shuhuda za wengine
Changamoto...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hivi ni Bar au maeneo gani ya starehe yanaweza kufikia sifa ilizokuwa nazo Bar ya Macheni enzi zake.
Hii Bar enzi za Prime Time yake iliweza kujibebea umaarufu hadi...
Ikiwa na nyuma na mbele ni sahihi kabisa! Lakini sio ndani na nje
Atakayeona ni nani Kama umegeuza? Kama ni mchumba wala Hana huo muda maana wakati huo wala akili yake haiwazi hayo.. ndio maana...
Am addicted to this superstitional entity called JamiiForums. I cant even rest for merely five minutes without my brain craving to it.
Even my other hobbies like dooking and hooking are melting...
Wakuu kwema?.
Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
Kati ya majina marefu ya kiasili niyajuayo ni haya:
Uvuvwevwevwe Onyetenyevwe Ugwemubwem Ossas toka Nigeria. na Andriantsimitoviaminandriandehibe, Andriantsimitoviaminandriandrazaka, na...
Jamani hili toto,mrembo wa JF,nimemmiss sana,hata awe na watoto 17 ila kama hana mtu nipo tayari kumvalisha pete la ndoa.
Akitoa chozi nimfute,nimkiss halafu nimtakie (nakupenda wewe peke yako).
Jamani nataka kuyaweka maisha yangu kizungu hasa kwenye upande wa chakula aya naombeni menu ya siku nzima.
Menu ya kizungu.mfano chips,mayai pembeni na waini ,aya menu nyingine ya kizungu jamani...
Habari wana JF
Natumaini tuna vipato tofauti tofauti humu ndani embu leo tupeane utaalamu kidogo wewe unaweza kusave kiasi gani kwa mwezi na ni asilimia ngapi ya kipato chako kwa mwezi hiyo ela...
Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊
Tunaolala,basi na tulale salama.
Kazi njema wana JF
Usiku mwema wanaJF!🙏
Just imagine huyu nimewahi onana naye only once kama miezi miwili ago. Tunawasiliana kuchat once in a while. Inaweza pita hata wiki mbili. Na aliniambia ana jamaa yake.
Na ana mtoto. Jana tu out...
Kama hamnipi zawadi nitajua mna wivu tu na mimi coz kwa siku hizi 2 nimeacha KUFANYA kila KITU nikashinda JF tu mpaka nikakaribia kupewa cheo kingine cha SINGLE na nanihino wangu!!
Moderator...
Hello wana jamii kwa wenyeji wa dodoma na hata wale ambao si wenyeji ila umewahi kufika dodoma kwa ajili ya interview ya utumishi naomba tujuzane lodge za bei nafuu kipande hicho ili ndugu zenu...