JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu habari za kulala. Leo nitatoa siri ambayo wengi imekuwa inawapa shida ya kuwapelekea kusumbuka kukwaruza vocha zao kabla ya kuzijaza tena wakiwa wamezilipia. Mimi nitakuelezeni leo jinsi...
7 Reactions
38 Replies
1K Views
Leo itakapofika ile mida ambayo walokuwa wanafanya mtihani wa taifa leo wanakuwa wameshafumba macho yao na tumebaki sisi tu ambao umri wetu una alama ya kujumlisha Yaani wenye ule umri wa kuanzia...
12 Reactions
48 Replies
1K Views
Katika pitia pitia yangu mitandaoni nimekutana na hili jambo ambalo binafsi lili nifanya nicheke usiku huu, nikaona hapana malegend huwa vitu vizur tunapenda kushare na wenzetu. Inasemwa simu...
6 Reactions
21 Replies
516 Views
Mlinde girlfriend wako kama binti yako, Mpende Kama mkeo na Mheshimu Kama Mama yako.
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Mawakala wa Trump wametolewa nje ya vyumba vya kupigia kura huko jimboni Maryland Endelea…
0 Reactions
6 Replies
225 Views
Wananzengo, habari? Disemba ndio hiyo tunaikaribia, ikiambatana na sikukuu mbali mbali za mwisho wa mwaka. Mimi niliyetangulia huku kijijini, shamra shamra ni nyingi sana; nipo huku na mama...
10 Reactions
25 Replies
434 Views
1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu...
24 Reactions
376 Replies
5K Views
Maandishi haya si mageni jijini, labda kwa mgeni jijini. Ila kwa wanyeji wa jiji, ni maandishi tuliyoyazoea "Ntakutumia kuna ishu naiskilizia" "Shemeji uko wewe peke yako" "Lini nije kwako...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Unapoanza mwaka mpya kila mmoja anakuwa na malengo yake ya mwaka husika anayohitaji kuyafikia ili kupiga hatua katika maisha yake. Ukitazama sasa tumesalia mwezi mmoja kutoka sasa kukamilisha au...
2 Reactions
6 Replies
180 Views
Jamani huyu mrembo wangu kapotelea wapi? Hata kwenye simu cimpati kabisa Miss Natafuta popote Ulipo.. You are missed
18 Reactions
120 Replies
8K Views
Habari ya muda huu ndugu zangu? Samahani, kwa aliyepo mkoa wa mwanza, kuna lodge zipi za bei nafuu? Maana ndo nimeshuka stendi muda huu na ata sielew nianzie wapi, Msaada wenu naomba wakuu,
1 Reactions
1 Replies
264 Views
Mie nilianza rasmi kuvuta bange miaka ya 2001. Iko hivi: Baada ya kufeli darasa la saba mwaka 1998 (sababu sikuwa na akili darasani) kipindi hicho mzee akamind sana ikabidi nisepe zangu mikoani...
27 Reactions
128 Replies
9K Views
Kama kichwa cha habar kinavyosema nazungumzia salam hii ndio salam bora na ya uungwana zaid kuliko zote tanzania salam zingine zimejaa ubaguz mkubwa Nashukuru mungu salam hii inakua kwa kas...
3 Reactions
3 Replies
111 Views
Nimefikiria kuanzisha uzi kuhusu hii pande ya mji wa dar es salaam tupate kushirikishana mambo kadhaa. Ukiona pisi kali kapanga sinza anakaa kigetogeto na hana kazi maalum, mkuu usitongoze wewe...
3 Reactions
4 Replies
328 Views
Mazishi jangawani kesho asubuhi
2 Reactions
15 Replies
251 Views
Wakuu, Mwana kang’oa pisi kali Jamaa mmoja kutoka Uganda ana-trend baada ya kushinda milioni 36 kwenye betting. Baada ya ushindi huo, mhudumu wa mapokezi katika kituo cha betting aliamua kuacha...
0 Reactions
3 Replies
429 Views
For several times now he has been provoked but he didnt show up. Even his trip~trop actions and activities are nearly zero. What have shut this man off?
2 Reactions
2 Replies
141 Views
Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bora na mimi nitoe somo kidogo, Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa...
0 Reactions
6 Replies
726 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…