JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Je unapenda kumpa mtu yeyote tuzo ya taifa Kwa matukio yake anayoyafanya Kwa jamii ? Kazi kwako kutiririka. Wakwangu natoa Tuzo za taifa kwa hawa watu. __Piere liquid huyu nampa Tuzo ya mlevi...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Salaam wana jamvi!! Naomba nikiri kutokua mwenyeji sana kwenye forum, ila ninakataaluma kadogo ka saikolojia lakini ni mtu niliyewahi pitia kwenye mahusiano hadi leo nina mke na mtoto. Nirudi...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Salaam wana jamvi!! Naomba nikiri kutokua mwenyeji sana kwenye forum, ila ninakataaluma kadogo ka saikolojia lakini ni mtu niliyewahi pitia kwenye mahusiano hadi leo nina mke na mtoto. Nirudi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ulipokuwa mdogo ulitaman Kuwa mkubwa, niambie ni nn kilikuvutia mpka utaman ukubwa je leo hii hujuti kuwa mkubwa!?? I tiririka hapa tuone ni wangani na akina nani walikuwa wanamawazo...
4 Reactions
152 Replies
8K Views
Mara lowasa kupokelewa rasmi dodoma Ungejisikiaje?
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Jamani jamiiforum Ni tamu sana.huu mtandao ni mzuri Kama hela naupenda Sana kwakweli. mmiliki wake nakupa pongezi ulifikiria vizuri Sana ukaanzisha forum hii isiyo boa.kwa jinsi ninavyoona Mimi...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Habar za Leo ndugu. Kuna hili suala LA wabinti kupata mimba kabla ya kuolewa na inakuwa shida kupata huduma pasipo mwenza. Sasa katika zunguka zangu nikakutana na kijana ambaye mdg wake alipata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Have you ever heard about these foods infused cannabis? I tried frozen yogurt infused cannabis before and it really tastes good! and now, there's new and something interesting! On the other hand...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Aman iwe juu yenu Sikia nikwambie; demu wako anaolewaaaa Umasema nini? Yule mwenye manyonyo anaolewaaa Unasemaaa!? Oya washikaji punguzen saut kuna wagen Huyu fala anasema ninii!? Punguzen...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu mu wazima, Kwa watumiaji WA mtandao pendwa WA Jf mliopo TBR karibuni tupige mastori ya Mkoa wetu. WA mikoa mingne karibuni pia
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Nyie ' Watani ' zangu sijui mmerogwa na nani hakyanani yaani popote mtakapokuwa mkishajijua tu ni Ndugu kutoka Kigoma basi mtaanza Kuongea hapa Kilugha huku mkipiga Kelele ( mkiongea kwa Sauti ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nimemchunguza Kobe kwa muda mrefu nikaja na hitimisho kuwa viumbe vyote ambavyo vinafanya mambo yake taratibu/polepole Basi vina uwezekano mkubwa wa kuishi maisha marefu tofauti na viumbe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimejikuta naumia moyo na kushindwa kuzuia hisia zangu na kumwambia ukweli jamaa aliyenipeleka bar how come anatumia pesa nyingi kwenye starehe awamu hii.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Yani nikisikia kitu au habari yeyote huwa nakuwa roho juu. Mtu akiniambia kitu siwezi kabisa kukaa nacho moyoni lazima niseme tu,yaan na enjoy sana umbea,mbaya zaid nyumban ndo dah hat nikiwa...
9 Reactions
120 Replies
13K Views
Kiukweli kwa tukio la leo la kumuuga mshikaji wetu wa soga za kitaa pale krmjee, ni wazi kuwa mwanaume wa dar ni aibu. Mimi nimezoea wanawake tu ndo wanalia kwenye misiba na kufika hatua ya...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Mnawaandama sana wanaume wa daresalama lakini wako fit kinyama tu. Tatizo ni wachoyo(selfish) Njaa haina hodari lakini siyo sawa mtoto kumbembeleza mzazi hata kama wote hawajala.Mzazi atajikaza...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanajf hamjambo aisee yaan siku ya leo asubuhi subuhi nkiwa njiani kuelekea mkutanoni kwenye kituo flani cha polisi nlipanda daladala wallah kuna kaka kadhalilishwa sijui kadhalilisha mara papu...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Waungana me naulizia ule mwezi wa. Kwaresma hivi umeshaanza..? Na kama umeshaanza, sikukuu ya pasaka inatarajiwa kuwa tarehe na mwezi wangapi.. Nimemaliza..
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Been in a place for couple of times, and i got to admit , its mesmerizing. Its exquisite designs are unmatched, top notch security and the toilets are unrealistically clean: It's just...
12 Reactions
149 Replies
17K Views
*NDANI YA BASI, LAGOS, NIGERIA* *JOHN:* Hello mrembo, una mwonekano wa kuvutia sana , jina lako nani? *JANE:* Lola. *JOHN:* Ningelipenda kukufahamu vizuri zaidi. Je unatumia WhatsApp, Twitter...
2 Reactions
2 Replies
786 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…