Wanaume watakuwa wakali kipindi cha January mpaka mwanzoni mwa february na kwa wanawake walioolewa na watumishi wa umma kutakuwa na vipindi virefu vya hasira na kusonya...
Std 1. I want to be a doctor
Std 7. I want to be a lawyer
Form 4. I just want to do Arts. I will be a Politician like dad.
Form 6. I just need two principle passes to join university.
Form 6...
Katika harakati zangu za relationships nimekutana na variety ya wasichana wa kibongo tofauti tofauti ila pia nimepeperusha bendera katika mataifa tofauti.
Nimekuwa na msichana mmoja wa kizungu na...
Hapa ndo nashindwa kuelewa. Kuna mabinti kila siku wanapost birhday za watu tofauti tofauti kwenye mitandao. Unakuta leo tukio la huyu, siku nyingine lake. Yaani kila kukicha birthday.
Kuna...
Namtafuta member Huyu anayeitwa... lesere kipindi cha nyuma sana tulikuwa tunawasiliana,Ila nmepoteza mawasiliano yake
Kama Kuna mtu anamjua anipemawasiliano yake,Kuna mchongo mmoja huko longido...
Habari bandugu zangu ba hapa!
Kuna ka utafiti kalifanyika humu jf ndani ya mwaka 2017 kuhusu hali ya wanq jf na status zao, mwaka 2017 umeshaisha sasa ebu tuangalie tokeo la tafiti hii,
Tafiti...
Ni kipindi kirefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na hii tabia, na nimejitahidi kuacha nimechemka. Ndio maana nimekuja mbele yenu ili mnipe mbinu zitakazosaidia kuachana na hii tabia.
Ni hivi, huwa...
Iko hivi, kuna dem kaja hapa mkoani kutoka huko wanapopaita Dar msimu huu wa sikukuu. Sasa akaleta mazoea ya hapa na pale nikajua tu huyu ana njaa na dushe tena ndo hivyo ametoka...
Heshima kwenu wana jf
niende straight kwenye mada je ni chakula gani ambacho ukila una ridhika kabisa...??
Mm ni wali maharage yaani kwenye sherehe hua sikosi kama kuna hiki kitu wali maharage...
Jana mida ya saa Nne usiku tulisikia jilani analalamika Nyoka jamani naomba msaada, tukafurika vijana 7 tukajitokeza kila mtu na fimbo mkononi tukazunguka barazani na kuzunguka hilo lijoka.
MALA...
Wadau zaidi ya masaa mawili hapa Dom town mvua inanyesha kubwa hatari baridi la kufa mtu yaani hali ya ni murua kabisa kwa mambo ya kwichi kwichi yaani hapa naona Leo mtu na mtu mpka atoke mtu
Boy:Baby where are you going?.
Girl: To commit suicide.
Boy:Then..,why so much make-up?.
Girl: Idiot!!.. Tomorrow my face will posted on newspaper, you wanna me look shamble?.
Boy:Babe basi...
Katika hii Dunia tunayoishi ambayo Wazungu wanasema ina Sayari takribani 9, wakati Mimi Deogratius Nalimi Kisandu najua fika Sayari iko moja tu ikiwa na Segment takribani 9 hivi.
Katika Dunia hii...
Kuna kipaji cha kusimulia.... Kuna majamaa wanajua kusimulia.kwa kizungu wanaitwa story teller. Hawa jamaa mnaweza mkaona tukio pamoja mwanzo mwisho ila ukamkuta anasimulia sehemu ukapenda...