(1)Mhudumu wa gest
(2)Daktari
(3)Boda boda
(Bodigadi)
(4)Mganga wa kienyeji
(5)Mtunza siri za bosi
(6)Baharia
(7)Rais
NB:Orodha ni ndefu sana unaweza ongezea kadri uwezavyo,ila hii dunia kuna watu...
Tukiwa hapa Mlimani City Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemtaja Mkurugenzi Mkuu wa Jamii forum Maxence Melo na Mtandao mzima wa Jamii forum katka majumuisho yake kuhusu uandishi wa mitandaoni...
Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia .?
If there's a phone in heaven , I could be in touch with my Grand-father ili kumjulisha kuwa yale mashamba yake makubwa tumeyauza na...
Nina ka mia tano hapa mfuko wa shati :D, natafuta pisi inayojitambua tukaitumie jioni ya leo.
Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:-
Chakula.........100,000/=
Vinywaji.........200,000/=...
Moja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu in huu kwamba Elimu ni bora kuliko pesa
Yani nakumbuka kipindi nipo shule kwenye debate kupitia motion hii ya "Education is better than...
Wadau nawasalimu,
Leo nimenunua Diamond Karanga na nimejikuta nimeshinda Carton ya Diamond Karanga. Naomba mnijuze nitawezaje kupata zawadi yangu.
Mwisho kabisa nawatakia kila la heri kwa mwaka...
Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba.
1. ZITTO KABWE
Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi...
Kuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
Sherehe ya kula nyama ya mbwa yafanyika China
Sherehe ya kula nyama ya mbwa iliogubikwa na utata katika mji wa Yullin nchini China imeanza licha ya ripoti za awali kwamba ilikuwa imepigwa...
Sasa najiuliza kosa langu ni nini yani group nipo na ni mchangiaji mzuri tu wa mada mbalimbali ila aliona sijui namzidi umaarufu leo nimefika sehemu yenye wi-fi nataka kuuliza kama nyama...
Eti Wadau,
Ghafla paaap, bahasha hiyo hapo, huko ndani kuna karatasi yenye details zote za kifo chako
Mfano: Tarehe, Mwaka na Mahali
Utafungua????🤣🤣🤣🤣🤣
My take: Mie nitafungua jamani, I'm...
Ndugu zanguni, mateso haya mpaka lini? Mbona wageni wanatutesa namna hii? Nilinunua suruali yangu kali tu nyeusi kwa ajili ya ruti za hapa na pale
Leo nikiwa Kariakoo nikaona kuna ka uzi...
Unatembea kwenye barabara isiyo na mwisho, na una kioo kimoja mikononi mwako. Ukitazama kwenye kioo hicho, unaona kitu ambacho kila mtu huona lakini hakuna yeyote anayeweza kukiona. Je, ni kitu...