Habari za siku tele waungwana?
Pasipo kupoteza muda niende kwenye mada.
Siku au miezi kadhaa iliyopita, mwanadada Jane Lowassa alitutangazia kuwa kipindi hicho alikuwa amejikita katika kufunga...
Shalom,
Kuna Baa zinaendeahwa kishamba sana sijui wachawi, wanazikata tishu Moja vipande viwili sijui wanatumwa na mapepo ya kichawi.
Zinakera hizo Baa natamani kuwatukana naishia kuzikataa hizo...
Happy Birthday to you shansarie...
I am happy.
Thank you sana for ur support.
Mungu akuzidishie miaka mingi zaidi ya furaha na mafanikio tele.
I will Marry you soon! [emoji122] [emoji320]...
Wanajamvi habari za jumapili?
Binafsi kuna vijitabia huwa vinanikera kwa kweli;
1. Weka picha (hii haijalishi ni uzi wa namna gani, pengine hata kama source ni Radio utaambiwa weka picha)
2. Ku...
Jamani sio vibaya Tukiwaenzi ma-GT wetu.
"Nina masters ya Law ( LLB) na natarajia kujiunga na JWTZ mwakani'' by MNYISANZU
Tupia na za wengine hapo Down tuone.
1. Kaunda suti zilikuja Kwa kasi kisa tu Ilikuwa vazi la mwalimu nyerere
2. Wahehe Kujinyonga kisa mkwawa alijinyonga japo yeye alifanya hivyo kwa uzalendo wa hehe wa siku hizi hata mapenzi...
Ni kama Mungu aliweka iwe hivyo mafuriko mengi huwa yanatokea usiku ndo maana idadi ya wanaokufa inakuwa sio ya kutisha Kwa sababu watu wanakuwa wamelala wanaamshwa na majanga wanapata nafasi ya...
Hawayuu wasomi wenzangu,
Leo katika harakati zangu za hapa na pale za kutafuta mkate wa siku wakati natoka kufundisha subtopic ya quantum tunneling pale UD.
Nikadandia daladala moja ya kwenda...
Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Wewe je?
Kumbukumbu zako zimeanzia ukiwa na umri gani au tukuache kwanza?
Wakuu msiwachukulie poa hawa madogo na msitende mambo hasi mbele yao ukidhani wanasahau mapema kuna umri ukifika mtoto...
Haya sasa,
Kwa upande wangu mm nimebahatika kuzaliwa na kukulia kwenye familia ya KISHUA haswaa, nyumba,magari na chakula Cha Kila aina tena Kila siku.
Changamoto ya kuishi kwnye familia ya...
Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa.
Ila...
Nilikuwa sina taarifa uwepo wa Jukwaa hili Rwanda !
Nimeliona hivi punde!.
Watu mnasiri sana😍!
Ila changamoto naiona Wavhngijai wa Lugha ya Kinyatwanda ni Wachacje sana!
Japo ndiyo hivyo thread...