May be because these things don't always happen but very probable.
1. WORKSHOP LAW OF BREAD:
When the buttered slice of bread falls it always falls on the buttered side.
2. LAW OF QUEUE:
If you...
Hello, MMU. Nadhani mpo Ok, zaidi poleni na shughuli za j3.
JF bhna[emoji23][emoji23], toka juzi watu wanashindana kutajana kwenye ziileee nyuzi. Ambao hawakutajwa walilalamika na kugomba vya...
Haya ndio yanayojiri.
Mambo huku ni bads number! Ninomaaaaaaaaaa! Kina mtambuzi mmetshaaaaa! Lara 1 ndani ya nyumba,si ya kuhadithiwa! Mashauz yamepata wa kujishaua!
Mambo ndo yameanza...
Ndugu zangu Watanzania,
Jamii forum ni kama familia, tena familia kubwa sana japo hatufahamiani wala kuonana lakini makala zetu na michango yetu humu jukwaani imetufanya tukafahamiana hata kwa...
Laiti tungekuwa tunatumia majina yetu ya kiukweli nadhani JF isingekuwa tamu kama ilivyo sasa.
Kuna maprofesa, wasomi mbalimbali, wasio soma na watu wa kila aina. Lakini wote tuna haki sawa ya...
Sote tumekubaliana huu mwaka ni wa kufosi, Leo ni tarehe 1/06/2024, maana yake tumeimaliza nusu ya kwanza, tunaanza nusu ya pili. Je, mpaka Sasa ume force kiasi gani? au bado unasubili mchongo...
Wakuu kupitia JF imetufanya tuwe kama ndugu na pia JF ni chombo kilichotuunganisha watu tofauti tofauti. So sioni ubaya wowote kama siku moja nitapata moja baridi na huyu member wa JF ledada...
Yani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!?
Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana.
Ila
Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika...
Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona...
Huu uzi ni kwa ajili ya kusema yale ya moyoni, yaani kusema yale ya kweli kabisa.
Binadamu tumeumbwa kwa hali tofauti na vipawa tofauti hasa katika suala la kujadiliana mada za kielimu yaani...
Siku ya kwanza kuchungulia jf kabla sijajiunga niliwakuta watu mashughuri sana wawili mshana na Mrs mshana demiss nakwambia kulichangamka sasa sahivi sijui mahaba yao yaliishia wapi?
Wakuu muda sio muda natarajia Kula hiki kipande (Mombo to Segerea) naelekea Tanga, katika memory zangu sitakaa nikisahau hiki kipande kabisa, kila nikipita hapa huwa nacheka, it happened kama...
Tangu nimejiunga JF 2010 mpaka leo nimepata likes 29,927(Hizi hazihusiani na lile jukwaa ambalo hata ukijamba unapata LIKE). Nawashuru wote walio-LIKE posts zangu zinazofika 30,806. Kwa kuwekea...