KUANZIA LEO NATANGANZA
KUACHA BANGI.. SI KWA ILIVYONIFANYA JANA...
[emoji117]NIMEKESHA USIKU MZIMA NACHEZA MZIKI KUMBE NI SAUTI YA JENERETA.. [emoji23][emoji23]
[emoji117]ii bangi [emoji377]
Jamani mods tunaomba mtupe taarifa huyu nguli wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa amepotelea wapi?
Watu wanatekwa aisee isije kuwa nae wamemteka.
Kipindi hiki kigumu tunahitaji sana uchambuzi wake
SURA YA KWANZA
Na. M. M. Mwanakijiji
Siku ya mkosi haiji na mmoja. Siku yangu ilianza kwa jina langu kuwa miongoni mwa majina yaliyotajwa kama waliotumbuliwa na Waziri mara baada ya serikali...
1. Kuna ongezeko kubwa la waumini makanisani japo sadaka haiongezeki (watu wanatafuta pa kuzugia kusukuma weekend)
2. Ndoa zimeendelea kuimarika na upendo wa familia unarejea kwa kasi (wababa...
Nothing makes a guy happier than when a chick says, "go and lock the door first"
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]
*You jump like Conte! In celebration*
Nimesikia Leo kwenye media kuwa ndani ya hifadhi ya ngorongoro kuna faru ndungai.
Nimebaki najiuliza:
>Kwa nini wamuite faru ndungai?
>Je, huyu faru ndungai ni jike au dume?
> Au huyo faru naye...
Habari wadau,
Hebu tutafakari hivi hali itakuwaje ghafla tukipewa uwezo wa kuwafanyia wapenzi factory reset / system restore ya akili na hisia zao ili ziwe kama pale yalipoanza mapenzi.
Je, wewe...
Mimi naishi uswazi, nimepanga geto yenye chumba kimoja tu sasa kuna binti niliwahi kulala nae hapa kwangu akang'atwa balaa na mbu.
So tangu siku hiyo nikimuambia aje tena geto anasema anaogopa...