JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
DOKTA yupo na WALEVI anawapa ushauri wa bure kabisa Kuhusu afya zao...! DOKTA :- Jamani hamjui kwamba Pombe inaua polepole? MLEVI mmoja Akajibu :- Kwani nani kakuambia SISI tunaharaka..?
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Dem: My huby... Mimi : Yes my love... Dem: Nakupenda... Mimi: Hata mimi najua... Dem: Baby hauna nguo za kufua? Mimi: Ninazo mpenzi... Dem: Nakuja hubby ila naomba uniandalie na hela ya shopping...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kijana katoka kuvuta bangi kaingia nyumbani moja kwa moja mpaka sebuleni kisha akasimama kumwangalia mgeni aliyeketi katika masofa. Haraka alikwenda jikoni alipo mama yake na kumuuliza...
14 Reactions
29 Replies
5K Views
Hebu zisome hapa Tabia za Mwanaume BAHILI na Mwenye Roho ya kimasikini. 1. Anapenda sana kuweka Coin kwenye wallet yake, ukiiona suruali yake unajua kajaa noti kumbe vyuma, wallet ina nusu kilo za...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa jinsi nilivyosoma kwa shida... mtu akinikashifu sina vyeti... ningebandika hadi matokeo ya tuition...!!
1 Reactions
0 Replies
883 Views
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. 3 Mungu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
ENZI IZO NASOMA SEKONDARI Mwalimu alikua anapenda leta hesabu za familia unakuta hesabu inasema. John ana miaka 10 pungufu ya Baba yake mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya john.Tafuta umri...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Sister: Mambo vipi bby Brother: Poa mrembo hujambo? Sister: Sijambo bby. Sister: Bby mara hii nataka pale hostel niwafunike wote. Brother: Hamna shida bby Mara hii ntakununulia turubai kubwa sana...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
I find this to be true!
13 Reactions
108 Replies
7K Views
MCHAGA HATA APATE KAZI BANK BADO ATASEMA YUPO KIBARUANI. SASA MHAYA APATE KAZI MACHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA. UTASIKIA "I WORK AS A CRUCIAL ENGINEER IN A MONOCOTYLEDON FINALIZING COMPANY"
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za saa hii wakuu na pole sana kwa mchakamchaka wakutwa nzima.. Sasa wanawane mimi nilikuwa naswali kwa wakina dada wale wanaotaka wanaume wenye magari, wadada mnaotaka mwanaume mwenye...
0 Reactions
14 Replies
974 Views
nini ulishawahi fanya utotoni ambacho hujawahi kuwaambia wazazi au mzazi wako/ mlezi Mimi niliiba kuku wa majirani flani nikawapaka rangi nikamuuzia huyo huyo mhusika
3 Reactions
4 Replies
917 Views
nini ulishawahi fanya utotoni ambacho hujawahi kuwaambia wazazi au mzazi wako/ mlezi Mimi niliiba kuku wa majirani flani nikawapaka rangi nikamuuzia huyo huyo mhusika
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Habari zenu wana ndugu, andika kitu unachopenda kushare ukiwa na mpenzi wako.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni kweli wembamba ni bora zaidi katika mahaba maana nashindwa kuelewa???
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sana nina tatizo la kuwahi kuamka asubuhi, Kwa kawaida hua naamka saa nne na nikiwahi basi ni saa mbili, Nawekaga alarm saa 11 asubuhi lakini hua naishia kuipuuza, sina mwajiri wa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
[emoji121] Wakuu, Kama kawaida yangu ya kuamka asubuhi mapema na kuanza kuzungusha mkokoteni wangu wa madumu ya maji nyumba hadi nyumba kitaa cha #madale_mivumoni- Sasa nyumba ya nne kutoka...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
salute!. Katika hali ya kawaida binadamu tunakutana au hata kufanya mambo mengi sana mema na mabaya..Na mengine tulishashau kwasababu ama umepita muda mwingi tangu umelifanya au kwa sababu...
1 Reactions
83 Replies
6K Views
Asilimia 88 ya Wanawake wanawachukia marafiki za wanaume zao Asilimia 90 ya wanaume wanapenda wanawake za marafiki zao WANAUME NI WATU WAZURI SANA DUNIANI
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Mwenyekiti: mheshimiwa makonda aka bashite habari yako. Bashite: salama tu niambie Mwenyekiti: tumekuita kujibu tuhuma kwamba unadharau na huheshimu wabunge, wasemaje ? Bashite: waniheshimu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…