Baada ya Kanali Masawe kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Kagera alikuja na mikakati mingi hasa ya kuhakikisha mji unakuwa msafi, na kwa hilo alifanikiwa sana na akapanga siku ya alhamisi kuwa siku...
Wakuu wote wa janvi hili salamu zenu, Napenda kuwapa Hongera Hongera Sana kwa wafanyabiashara wote na hasa hao viongozi wao kwa kuweza kuonyesha dhahiri hisia zao kwa TRA jambo ambalo...
Jamani baada ya kukaa kitaa kwa muda bila kibarua mafanikio huku family (Mke na mtoto wakinitazama).
Nimeamua kuanza kuandika makala mbalimbali katika nyanja mbalimbali za maisha ya binaadamu...
habari?
nakodisha shamba kuanzia ekari 5 mpaka 15 kwa wanaotaka kujaribu small scale farming. shamba lipo tanga, umbali wa dakika ishirini kwa gari kutokea barabara kuu.bei tsh 20,000 kwa ekari...
UNAWEZA UKAISHI TOWN KWA UJANJA HUTAKUA MACHINGA WA VITU VYA WACHINA ILA UTAKUA MJASIRIAMALI MWENYE TIJA UNAYEJUA a)kusave hela b) kujifunza kufanya kazi kwa bidii. kujuana na watu usidharau kuna...
Mara mbili nimenunua pikipiki za wachina kariakoo lakini hela iliyoandikwa kwenye risiti nilizopewa hailingani na hela niliyolipa. Nimelipa sh. 1.9mil kununua T-better lakini risiti ikaandikwa sh...
EArn Money your working at home/ or earn your extra income while seated at your office
Join the successful Professionals Entrepreneurs at Akemi - The Dar's only revolving restaurant in Tanzania...
Kwa yoyote yule mwenye kutafuta gari la kazi tone 3 na nusu mitsubishi canter la mwaka 2003 ninalo mimi ninauza liko zanzibar halina matatizo yoyote yale , nilikuwa natumia kwa shuhuli zanzu za...
Kuna hizi pump unaweka mpira kwenye maji halafu unakuwa unakanyaga au kukandamiza kwa mikono kuvuta maji toka kwenye kajisima, nimewahi kuziona wakati fulani. Bajeti yangu ni ndogo haizidi laki 1...
Ndugu wana JF, Mimi ni mjasiamali mdogo, Natafuta mteja wa Asali mbichi inayozalishwa toka Mkoa wa Tabora na nyuki wakubwa, Mteja awe Dar, na kwa kuanzia twaweza kuanza na mzigo wa Lita 500...
Habari wanajamii, napenda kuuliza kwa yeyote anayejua ni shirika gani la ndege linaloenda Dar-Maputo(Msumbiji) na nauli yake ni approvimate shilling ngapi kwenda na kurudi? Nahitaji msaada.
Asantei.
Habarini za shughuli,
Najua kuna watu mbali mbali humu ndani ambao tayari eidha wamewahi kufanya au kujaribu kufanya shughuli za ujasiriamali.
Nahitaji mawazo yenu na ushauri wenu
Nategemea...
kiwanja kikubwa 3/4 heka kinauzwa kipo Mbezi Luis karibu na st. annes academy school, kina Hati.
Gari Toyota Noah 2002 model namba mpya inauzwa. cell 0717 295 295.
Wapenda mie ni mteja wa Equity Bank.
Chakushangaza toka Alhamisi ya Trh14 2013.Hakuna huduma ya kutoa pesa sio kwenye ATM Machine wala Kaunta adi leo hii.ukiuliza shida nini wanadai network...
hellow ladies and gentlemen,
kwa kipindi hiki mimi bado niko shule naelekea kumaliza masomo. lakini baada ya hapa nina mpango wa kuanzisha kampuni ambayo itakayokuja kuhusika na mizigo, yaani iwe...
Ukiniuliza mimi nitasema sababu zifuatazo;
1. KODI NINAYOLIPA 85% INAISHIA KWENYE MATUMBO YA WATU BINAFSI NA WEZI SERIKALINI
2. JAMAA WANATAKA RUSHWA SANAAAA YAANI KOTE,POLISI,TRA,ARDHI,JESHINI...