Nahitaji kusoma master program ya Finance later this year hapahapa bongo,naomba links mbili tatu za sponsors ambao wanaweza sponsor mtu aina yangu ninayehitaji kusoma in my home country.I have...
leo asubuhi nimepata email ya kimaendeleo kutoka kwa mtanzania.imenifurahisha sana kuona sasa tunaelekea usawa wa kenya,now people are dare to venture in new avenues
please read to the end then...
Nilipost post asubuhi nikiomba msaada Javini wa taarifa hii, ila bahati nzuri nimeipata , tunaweza kushare hiyo taarifa kwa wale ambao nao hawakuwa na taarifa hii na wanataka kuwa Entrepreneurs wa...
Tumezoea kwamba elimu ya msingi ni Darasa la kwanza hadi la saba. Lakini katika hali halisi Elimu ya msingi kwa msingi wake na mane yake yaani basic or foundational education na ukitazama hali...
Baba kama unakumbuka ulinielekeza kufungua website kwa domain.co.cc na kuimask! duh nimekukubali! nipo hewani sasa! ila nimeamua iwe ya kikoffical tu iswe wikliks wataniua! Thnaks sana kikwetu...
Najaribu kufikiria jinsi bei ya bidhaa zinavyopanda kwa kasi ikilinganishwa na kipato halisi cha Mtanzania. Wakati wa siku za mwisho wa juma nilizunguka kwenye maduka ya mtaani kupata mahitaji ya...
Napenda kujua ni Taasisi gani inakopesha kwa riba nafuu na wenye masharti yasio kuwa magumu cause izi bank zetu zina ukiritimba wa hali ya juu ingawa inawezekana baadhi ambazo sizifahamu zikawa ni...
Inawezekana ikawa ni ukweli ya kuwa kuna wakati kuna matatizo ya kimtandao na hivyo kufanya mabenki yetu kutotoa huduma kwa wateja.
Hata hivyo kwa utafiti wangu mdogo kwa baadhi ya mabenki kuna...
Maneno haya si mageni wengi wetu kwa hasa kuyasikia katikalugha ya kigereza ya kitamkwa na viongoziwetu wa siasa, makaazini na hata sisi wenyewe kuyasistiza manyumbani na sehemu nyingine.
Kwa...
Dars tax holidays costing economy hundreds of millions of dollars
By JOSEPH MWAMUNYANGE
THE EAST AFRICAN
Posted Monday, February 21 2011 at 00:00
The governments generous tax exemption...
Wafanyabiashara ndogondogo ‘wamachinga' wa kigeni wametakiwa kuondoka ndani ya siku 30 ili kuacha watanganyika kufanya biashara hizo.
Naibu Waziri wa Biashara an Viwanda, Lazaro Nyalandu...
kufuatana na matukio ya leo na dharula,nimetumia simu yangu ya Air tel usiku after 11pm,wamekata pesa kubwa kama kawaida
nikaamua kwenda ktk website ya airtel.com nikakuta offer ya robo shilingi...
Wakuu,
Jamaa yangu anatafuta usafiri kwa matumiza ya kawaida na ameniomba nimsaidie kutafuta dealer wa magari aliyeko Zanzibar ili aweze kuwasialiana naye moja kwa moja na kununua magari...
The Airline Business Magazine celebrated its 25th Anniversary in December 2010. The leading business and corporate strategy publication for the air transport industry was founded in 1985. Over the...
Workflow Robot ERP ni mfumo wa komputa unaotumika kusimamia na kuratibu mauzo, mapato, matumizi na stoku. Hutumika kwa mpangilio uliowazi na kudhibiti kila sehemu ya biashara hasa pale...
Hello JF,
Nilijua ni mimi tu naibiwa kwenye simu yangu ya mkononi, Kumbe tupo wengi sana,
Langu ni Hili;
Mimi ni msafiri wa hizi nchi za afrika mashariki na mara nyingi sana hupenda...
SERIKALI imesema hivi sasa haina fedha za kukidhi mahitaji ya idara na taasisi zake na kuwataka wananchi kuwa makini katika matumizi ili kukabiliana hali ngumu iliyopo.
Akizungumza katika...
Jambo moja ambalo ni la kujiuliza kwa nini matajiri wetu wa Ki-Tanzania kama Bakhresa, Diallo, Reginald Mengi n.k hawajiingizi na kuwekeza ktk sekta zenye utajiri mkubwa kama viwanda vikubwa...