Najua inategemea frame yenyewe ilivyo,,mahari ilipo na vitu vinginevyo,,kwa kuzingatia hayo naomba kwa wale wenye kujua hili tushirikiane,,maana hivi ndivyo tunavyoendelea kupanua uwanda wa...
Jamani wana JF
Kuanzia Mwezi wa saba rate ya TRA ya ku inflate Bei za magari Kutoka Nje ili Mhusika alipe kodi kubwa imepanda kwa kasi sana.
Hivi kama nina TT form niliyojaza kuagizia Gari na...
Wapendwa si haba kupeana update kuna fair nzuri zimekuja kwenye ndege yetu hii yenye safari za hapo juu na nyingine nyingi ukiwa kama msafiri wa sehemu hizo na kwingineko piga
2122402/2122303...
wakuu nimeshuhudia mkasa mmoja ambao umenisukuma kuja kuuleta hapa jamvini ili tuweze kuelimishana. Nina mshkaji wangu mmoja alinunua gari kwa jamaa sasa ameichoka akaamua kuiuza. katika kutafuta...
Mtu yeyote mwenye kujua process nzima ya kusajili microfinance binafsi anisaidie.
Kama huna cha kuchangia nakuomba uisome thread ili ufaidike na michango endelevu ya wadau wanaoifahau process...
Kuna taarifa inayoelezea hawa majamaa kampuni la mawasiliano Hits-Tanzania
limerudi baada ya kubaniwa na TCRA na kukwama kutokana na mfulio wa uchumi
wa dunia linataka ku-resume sercive zake...
Jambo wandugu, nina kampuni ya ujenza Class VII. Imesajiliwa na ina leseni zote lakini kwa bahati mbaya haipati kazi kwa sababu mbalimbali. Natafuta mtu ambaye ana uwezo wa kupata kazi lakini hana...
Wakuu salamu zangu kwenu:
Nimekuwa na wafanyakazi kadhaa katika biashara ambao kitu kikubwa cha kukosana nao ni kutokuwepo kwa uaminifu katika pesa,,si mimi tu ila watu wengi sana wamewafukuza...
Leo shemeji/wifi yenu kaenda tawi moja la NMB jijini kuuliza taratibu za kufungua akaunti kwa ajili ya watoto akaambiwa apeleke fomu toka serikali za mitaa zenye picha ya kila mtoto na mama...
Salamu zenu wakuu.
Mashamba ni mali inayopanda thamani siku zote,,hebu watu wa moro (mji kasoro bahari) tupeni information kuhusu bei ya ardhi huko,,ili wale wenye kitu kidogo watumie fursa hii...
The announcement by Comair Airways Ltd, a Jamesburg based carrier to the effect that it intends to start flying the Johannesburg-Dar Salaam route with effect from 2 November 2010 sounds like...
Hii inakuwaje jamani, sheria ya umiliki ardhi kama mashamba inasemaje kuhusu hili wadau?
Serikali wilayani hapa Mkoa wa Pwani, imesema baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, waliouziwa...
Published:
Monday, 16 Aug 2010 | 1:16 PM ET
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM, Aug 16 (Reuters) - Tanzania's current account deficit widened
3.9 percent to $2.63 billion in...
Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, kila mwaka amekuwa akiwasilisha kasoro kubwa za upotevu na matumizi ya hovyo ya mabilioni ya pesa za serikali, lakini hakuna hatua zozote madhubuti...
Habari wana janvi natafuta mtu anayeweza kuandika andiko zuri la Seed Production And Dissemination ninataka kulitumia kuombea fedha kwenye taasisi za fedha kwa ajili ya kuzalisha mbegu na kuuza...
Police smash £1.2million global iPhone scam with raids across Britain
Last updated at 1:58 PM on 18th August 2010
British police have shut down an international scam in which gang...
Nimepata ujumbe huu toka VODACOM; HABARI NDIO HII: Ongea kwa Tsh. 1 kwa sekunde kila siku masaa 24 asubuhi, mchana, jioni na usiku mzima.
This is a good move ushindani uendelee... Wateja...
Ningependa kujuakuna nini kimetokea Zain? toka jana mtandao umekuwa ni wa kusuasua, hakuna mawasiliano kabisa, hasa kanda ya ziwa. Nyie watu wa Zain kwani nini msiwaeleze wananchi kuna tatizo gani...