Wana jamvi katika kupitia pitia website mbalimbali nimekutana na hii inayotoa mitaji kwa watu wenye bussines plan zitakazopitishwa angalieni kama mtapata mambo ya kuwafaa huku;IFC Home
Nimekuwa nikijiuliza kila mara, kwenye nchi za wenzetu ni kawaida sana kukutana na wahudumu ( waiters/waitresses) ambao ni wanafunzi hasa wa vyuo vikuu wakifanya kazi kwenye mahoteli au migahawa...
Kwa wajasiriamali,
Hakuna hatari kubwa kama kusema jambo hili nitafanya kesho,kwa sababu kesho ina mambo yake. Hakuna ugonjwa mbaya kama kusema bila kutenda. Ili ufanikiwe ni muhimu sana...
Hi, ladies and gents!
Habari zenu?
Naombeni mnisaidie - nitapata wapi ng'ombe bora wa maziwa (ng'ombe wa kisasa)?
Nilishawahi kusikia sikia kuwa kuna mahali naweza kupata ng'ombe ambaye/ ambao...
02 Aug 2010
Cape Town's Tellumat has won a R7 million contract for the supply of FM radio transmitters to the Tanzania Broadcasting Corporation.
The deal is Tellumats fifth successful...
Newvision
Tullow Oil has made a further oil discovery in Uganda after the Ngiri-2 appraisal well came up trumps with the thickest oil pay found so far in the Butiaba area.
The well, located...
Retirement planning requires wise investment of a nest egg during your working life in order to live comfortably during retirement
. A survey published by the National Foundation for Credit...
Wadau mimi sijawahi kukata comprehensive insurance, mara zote huwa nakata third part,
Nimesikia kuwa ukikata comprehensive, hata kama umegonga, gari imeibiwa, moto ukitokea, unalipwa na hakuna...
Daily News ya leo 30/7/2010 imeadika kichwa cha habari hapo juu ambapo Permanaent Secretary in the Ministry Of Finance and Economic Affairs -Mr Ramadhani Kija anaomba Watanzania wamplekee list ya...
EABL takes beer wars to SABMillers doorsteps
East African Breweries Limited bottling plant. The brewer has been allowed to buy a controlling stake in Serengeti Breweries...
Serikali ya Uingereza imeondoa umri wa kisheria wa kustaafu ili kupunguza malipo yanalipwa na mifuko ya uzeeni.
Nafikiri kwa Tanzania tukiamua kama wao itapunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya...
SIJUI kama wakuu na Wanasiasa wa Tanzania wakiwemo Kikwete, Lipumba, Slaa na wengineo wana habari kwamba China imekwishatengeneza Treni iendayo kasi kama zile za Japani na Ufaransa.
Na hivi...
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya jiji wameonekana kufurahia ujio wa kiwanda cha Wachina kilichoamua kununua soli za viatu ambavyo vimetumika.
Shuhuda wetu alishuhudia idadi kubwa ya vijana na...
Habari nyingine (mafuta, madini na nishati) kuhusu nchi yetu huwa zinapita pita chini ya uvungu. Kwa ufupi tu, habari zifuatazo ni za mwezi huu wa Julai (Africa Intelligence Online):
·...
Jana baada ya kufika nyumbani kwangu nikataka ku-download email zangu.Connection ilikuwa nzuri kabisa.
Hivyo nikafuata utratibu wa Vodacom kutuma ujumbe CHEKA INTANET kwenda 123.
Baada ya muda...
Whether we like or loathe politics our destiny is generally influenced by its dynamics. As East Africans, for example, we are basically the same people but our socio-economic mindset or traits may...
Tanzania bans middlemen from its onion farms
The onion benchmark price was supposed to be $114 per bag in the local markets, but the Kenyan dealers are only offering between $46 and $50 per...