Wakubwa, sisi wengine hatupo hapo bongo kwa sasa, kutokana na kazi zetu. Nilikuwa naomba kuuliza, hivi bunge la tz linakaa lini? na kama tayari, WABUNGE WANALIONGELEAJE SUALA LA TZ KUTUMIA MAJI YA...
Kuna habari, iliyoandikwa na Daniel Mjema kutoka mjini Moshi (Mwananchi, 4/16/2010), yenye kichwa, Sheria ya DSE imechafua sifa ya nchi:
MWENYAKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya simu ya...
Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiongea na wanahabari wakati wa uzinduzi wa huduma ya Habari ndiyo hii ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde hivi...
Kiunganishi: http://chahali.blogspot.com/2010/04/mabalozi-wa-utalii-muhimuuzalendo.html
Majuzi Rais Jakaya Kikwete alimteua Doug Pitt,mdogo wa staa wa filamu Brad Pitt,kuwa balozi wa heshima...
WanaJF:
Natarajia kujenga nyumba za kukodisha (2-3 bedroom flats) mwaka ujao. Ninatafuta architect anisaidie na uchoraji, na materials analyst anisaidie na bajeti.
Naomba mnisaidie na...
The World's Most Expensive Stuff 2010
by Venessa Wong
Tuesday, April 20, 2010
provided by
The Rich Spend Richer
More from BusinessWeek.com:
Art to Cigars: A Shopping List for the Superrich...
Mishahara sekta binafsi Tucta yashtukia danganya toto Send to a friend Tuesday, 20 April 2010 22:30 0diggsdigg
Patricia Kimelemeta na Voina Maganda
Kapuya
SERIKALI, ambayo inahaha kujaribu...
Skandali ndani ya Kanisa Katoliki, hasa katika Nchi Zilizoendelea za Ulaya Magharibi na Amerika, inazidi kuchanua kiasi cha kumhusisha Papa Mtakatifu wa sasa alipokuwa Padri huko kwao Ujerumani...
Send to a friend Tuesday, 20 April 2010 07:42 0diggsdigg
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkullo
Na Mwandishi Wetu
TANZANIA imeshapoteza Sh11.6 trilioni, ikiwa ni...
Kuna tetesi ile kampuni ya mabasi iliyoanza kwa kishindo ya Scandnavia Express yaelekea ukingoni.
1. wamesimamisha hudauma zote za usafiri wa mabasi
2. wafanyakazi wote wamepewa likizo ya miezi...
Napenda kuwashauri ndugu zangu tuwe na utamaduni wa kununua bidhaa kutoka kwa Wamachinga au vijana wa mitaani, sababu kubwa ni kama ifuatavyo;
1. kuunga mkono kazi zao ili wasikate tamaa ya maisha...
Your views and comments will be appreciated:
1. I want to start a company that will create exams for standard 7 and form 4 students country wide. I believe having a private company doing this will...
HARARE, Zimbabwe - President Robert Mugabe pledged Sunday to move ahead with plans to hand over 51 percent control of businesses to blacks under a controversial program.During ceremonies Sunday...
FILE - In this Oct. 17, 2002 file photo, Cuba's tobacco producer Alejandro Robaina, 83, smokes near new tobacco plants in San Luis, near Pinar del Rio, Cuba. According to Cuban state...
Kwanza niseme nimefurahishwa mno na kampuni
ya TIGO jinsi wanavyo dhibiti soko lao na kuwabana wapinzani wao hadi mwisho....
kama hakuna sheria yeyote iliyovunjwa nafikiri hii kampuni ya TIGO...
Ongea kwa Tsh 1 kwa sekunde siku nzima.
Ongea kwa Tsh 1 kwa dakika usiku kucha.
Hakuna Kujisajili, Hakuna Kikomo cha Muda, Hakuna Malipo Yaliyofichwa, Hakuna kukatika Simu Ovyo, Hakuna Msongamano...
Guys,
I need assistance from any one who knows how to calculate/estimate electricity bill given kWh consumed in both different tarrifs #1 up to #5.
For instance: given 540 kWh consumed, this...
DANGEROUS IMPORTED FOODS
This information is circulating, I thought it is worth JF members also know it and decide individually. The source is internet, you may consider it unreliable source...
Precision Air Services Ltd is an entrepreneurial brilliance at its high point. The airline known as PW in IATA two letter codes is going places! Precision Airs rags to riches story is the envy of...