Tofauti na nchi zilizoendelea ambapo uwekezaji wa makampuni ya bima katika masoko makubwa ya hisa ni mkubwa na hutazamwa zaidi na wawekezaji wengi duniani kwa Tanzania Sijawahi kuona kampuni...
Muhimu: thamani ya pesa inashuka kulingana na muda, shilingi 50 ya 2000 ilikuwa nauli ya daladala kwenda na kurudi lakini hauwezi fananisha na ya 2020 onayonunua pipi moja tu.
Ikiwa mtu ana sifa...
Habari wadau
Kutokana msimu huu wa mfungo wa ramadhani, kuna Ndugu yangu anataka anitumie kama tani 20( kontena) za tende kutoka Saudi Arabia ili nifanye biashara.
Sasa nataka kujua ni documents...
Kuna jamaa yangu anataka kuniuzia kiwanja kingulwira Morogoro, Kwa wenyeji wa kule vipi pakoje?
Hali ya hewa, huduma za jamii, biashara/kilimo
Naomba muongozo
habari wadau wa JF? Mimi ni member mzuri wa jukwaa hili kwa kusoma na kupata mawazo mbalimbali ambayo kwa namna moja au nyingine yananisaidia kama mjasiriamali mdogo kwa kiasi kikubwa.
Mbali na...
Ndugu wana jamvi hii benki tajwa hapo juu imekuwa na matawi mengi nchi nzima. lakini katika wilaya nyingi wamekuja na kitu kinachoitwa easy loan yaani mkopo rahisi. Walikuwa wakitembelea sehemu...
Habari wana jamiiforums, nategemea kufungua ivi karibuni biashara ya vifungashio (jumla & rejareja) maeneo ya Mwanza mjini.
Naomba kwa wazoefu wa biashara hii mnifahamishe ni wapi naweza kupata...
Habari, samahani mimi ni mfanyabiashara mdogo wa accesories kofia miwani na pochi nataka kwnda China ninunue mizigo nije kuuza kwa jumla hasa yiwu lakini sina mwenyeji naomba ushauri? Na je kuna...
Wakuu msaada kidogo, Niko na plan ya kufungua BIASHARA yaangu ya nguo but kitu nakwama ni jinsi ya kupata supplier china.
KWA EXPERIENCED NAOMBA MSAADA KIDOGO HAPA
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natamani kufaham hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa WAKALA wa kampuni za Betting kama, MERIDIANBET, PLAYMASTER, PRIMIERBET na nyingine zinazofanana na...
Nimekuwa nikiwaona wanajitangaza tiktok kwamba wanauza pc kwa bei rahisi.
Kinachonishangaza ni namna ambavyo wanatoa offers mbalimbali kwa mteja anayenunua pc kwao.
Wanadai kuwa ukinunua pc...
Wadau kwema?
Naomba msaada kwa mwenye kufahamu biashara ya kuuza gesi za kupikia.
Je, mtaji wake nikiweka kama 500,000/= Tsh unatosha?
Je, vibali vya kufanyia hiyo bishara vimekaaje?
Naomba...
Kama kichwa kinavojieleza tafadhali mwenye ufahamu wa waya za umeme
1.5mm2 single core cable kwa kila rangi na 2.5 mm2 singke core cable ninaomba mnisaidie na kama yupo fundi mzur akuje tuyajenge.
KUONDOLEWA PICHA ZA VIONGOZI KWENYE NOTI KWAPUNGUZA GHARAMA
Serikali imesema kuwa miongoni mwa sababu ya kuondoa picha za viongozi kwenye sarafu ya Tanzania ilikuwa ni gharama za mara kwa mara za...
Tatizo kubwa la uchumi wa Tanzania ni ajira. Kukuza ajira kunahitaji makampuni binafsi kukuwa. Makampuni binafsi kukuwa yanahitaji mikopo nafuu.
Tatito tulilo nalo bank kuu imepewa mandate sijui...
Kesho najipanga kupata 200k lakini sina plan
Nishaurini
MAKOSA YA KIUFUNDI YA LEO:
0.Nimeamka saa4[emoji626]
1.Nimeamka bila plan[emoji626]
2.Nimepanda mnazi[emoji626]
3.Sijaulisha ubongo kwa...
Kuna kitu hakiko sawa hapa, inabidi kitu kifanyike, serikali isipoingilia kati uchumi utaharibika
Ni trent hapa tanzania kitu kikipanda bei ni shida sana kushuka bei, kwann