Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

You must be in the mind of your children in order to be successful" I stand to be corrected for this Kwa nini unafikiri baba/mama kuna mahali walikosea? , kwa nn ukipigiwa story na kuambiwa kuwa...
14 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimejaribu kupiga sana 0800110045 bila mafanikio kuanzia saa moja mpa sasa hivi saa mbili simu inaita tu haipokelewi nikapiga +255 22 211 8411 namba ya ofisi ya Air Tanzania naambiwa haipatikani...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
habarini, ningependa kuchukua fursa hii kwa yeyote mwenye engine hana matairi tuwasiliane mimi nina matairi yote yani la nyuma na la mbele
0 Reactions
6 Replies
2K Views
THE WAYS WE CON OURSELVES I support a particular hospital charity that each year or so runs a home lottery and every year I enter. To date I have won a digital camera, an iPod, an Apple TV, a...
1 Reactions
0 Replies
498 Views
KUMEKUWEPO na upotoshaji mkubwa na wa makusudi unaofanywa na maafisa wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB) kuhususiana na kwa nini wateja wa iliyokuwa benki ya FBME walichelewa kulipwa amana zao zilizopo...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna hii fursa ambayo nimekuwa na lengo la kuifanya mda mrefu kuna jambo ambalo linanisukuma kuanzisha hii e-commerce website sababu kubwa ni kuongezeka kwa watumiaji wa internet nilijaribu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada mwenye uzoefu na biashara ya kubadili mitungi ya gas(Uwakala)naomba muongozo kwa ccompany yoyote
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu Kama hapo juu panavyojieleza, mimi ni mfanyabiashara wa mbao kutoa mafinga kupeleka dar es salaam, nahitaji mtu wakushirikiana nae mwenye ujuzi wa kutafuta masoko, hata kama...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote bado ndiye mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mujibu wa orodha ya mabilionea mwaka 2017 iliyoandaliwa na jarida la Forbes. Utajiri wa Dangote...
5 Reactions
71 Replies
19K Views
Mfumo wa sasa wa uchumi haumsaidii mfanyabiashara wa kati Tanzania. Wafanyabiashara wa kati ni wale ambao wanaitaji msaada wa Bank ili kuweza kukuza biashara zao. Mfumo wa sasa ni mzuri kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jinsi mtanzania anavyoweza kujiingizia kipato Kupitia mitandao, unaweza kudownload file la pdf hapa; haitumii youtube wala blog, ni njia rahisi inayoweza kukuingizia kipato kizuri kwa siku.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu. Jana limetoka tangazo mara la kuruhusu watanzania kuuza mahindi nchi za nje. Mkumbuke mnunuzi mkuu wa mahindi ya Tanzania ni Kenya na kwa msimu huu Zambia kazalisha mahindi mengi mno na...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hello wadau, Naomba kujua yafuatayo kuhusu insurance brokers companies 1. Namna wanavyotengeneza faida 2. Namna ya kupata usajili ili uwe broker Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF habarini. Mimi ni kijana I am in my early 20's. Nataka kuwa na kampuni ya FILM PRODUCTION. To be honest sina mtaji mkubwa. Sina hata vifaa. Kinacho nisukuma kufungua kampuni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi, Nimeleta uzi huu ili tusaidiane mawazo, Mimi nataka kufungua duka jirani na duka lililopo awali, lakini ninapanga kwamba ili nipate wateja wengi basi kitu niweke faida ndogo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za weekend wanaJF, mimi ni kijana mwenye nia ya kujiajiri na kufikia malengo ya kuwa na project kubwa hapa nchini. Nimefanikiwa kupata Stashahada ya uhandisi mitambo Taasisi ya teknologia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Ningependa kujua kwa mtu mwenye chini ya 50M ni bora aiweke kwenye T/BILLS, T/BONDS au FIXED DEPOSITS. Ushauri wenu unahitajika. Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana hamjambo wote, pole kwa wenye matatizo ya hapa na pale, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi ni mkoa upi ambao unapambana kila kukicha yawe makazi yako ya kudumu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika harakati ya kuotesha uyoga nimekumbana na tatizo la inzi. Hata kabla ya uyoga haujajitokeza wamejitokeza lavae wanaotokana na inzi. Nifanyeje wanakula mycelium??!! Hii ni baada ya kuchemsha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za mida hii.. Asee nafikiria namna ya kuwa na savings account lakini ambayo itakuwa ni dollar account.. In the sense that..visenti vyangu ntavyokuwa navpata naviweka kwa hyo dollar...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…