Kuna watu nazani huwa wanaumia sana tena mno wanapo kutana na post mbali mbali za wadau mbali mbali zinazo sisitiza watu kuwa waajiri na sio waajiriwa
Nazani wanao umia huwa wanapotea njia kwa...
Habaru wakuu...
Kuna fursa mbili hapa naziona hapa kwa Mimi kijana ambaye kwa sasa nimeamua kujikita katika masuala ya biashara ila Mara nyingi kabla sijaanza biashara uwa nakuja jf kwa ajili ya...
Habari zenu wakuu,
Napenda kuingia katika hii biashara ya mchele kati ya Morogoro na Shinyanga wapi kuna mchele mzuri na wapi kuna unafuu wa bei kipindi cha mavuno? Bei kwa gunia inakuwaje muda...
Waliomaliza kilimo(sua),wpewe ardhi kwenye vikundi, kandokando ya mito mf moro! Waaanze kilimo cha umwagiliji,eg apple,tunanunua s,afrika,mpunga nk,wanachokosa vijana ni mitaji tu ,wapo walioitimu...
Mimi ni mwanachuo mwaka wa tatu (BscCIM) pia Mfanyabiashara nmejitahidi kupambana na maisha nikafungua ofisi yangu ninayochezesha GAMES ZA WATOTO JAPO HATA WAKUBWA UNACHEZA TU (PLAYSATION 4) ila...
Habari wana jamvini? Katika hangaika yangu nimepata wateja wa mafuta ya alizeti, nimesikia yanapatikana Singida, tatizo sijui pa kuanzia ili kuyapata na kuyaleta Dar ili kusupply. Naomba msaada...
Wakuu kwa anayejua ufanyaji kazi wa hii visacard atusaidie ambao hatufahamu.Nimeiona sehemu lakini sijaambulia chochote kwa undani zaidi.
Msaada tafadhali
Habari za mchana nyote.
Naomba niende kwenye topic yangu ipo hivi, nina kijibiashara changu kidogo nakifanya kujikimu kimaisha sasa nina mashine ya Efd na ni kawaida yangu kutoa risiti kulingana...
Habari zenu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema nime order incubators 3 zenye ujazo wa 6,336 ingine 4,224 na 3,520 zinakuja na Hatchers zake pia nime order hatcher peke yake ya mayai 3500...
Source ITV
Leo wizara imekiri kuwa star times hawalipii kodi ving'amuzi vyao wakati huo huo kampuni nyingine zinalipa kama kawa. Kisa wao waliomba wasilipe kodi na serikali ikaonelea ombi lao...
Karibuni wadau.
Mjasiriamali ni nani?
Mjasiriamali ni mtu mbunifu, ambaye ununifu wake anaunadi na kutumia ili apate faida.
Mjasiriamali ni kitendo cha kuchukua hatua na kuanzisha kitu kipya au...
Ni kwa nini Rutu aliambiwa asitzame nyuma pindi anaondoka mji ule?
Ni kwa sababu Mungu alijua fika kitendo cha kutazama nyuma tu kitafanya Rutu abadilishe mawazo yake ya safari na kuamua kurudi...
Habari wana jf hivi karibuni nina mpango wa kuuza bidhaa online kutoka China na Tanzania kwenda mataifa mengine kuhusu China sina tatizo lkn changamoto inakuja kwa upande wa Tanzania je ni njia...
Ndugu watanzania wenzangu hamjambo?
Naomba kujua kama mtu akiwa na mkopo bank, hasa kwa watumishi, na akahitaji kulipa mkopo wote kwa kweshi au kwa kuuza kwa kampuni nyingine, Je atadaiwa na...
Natumaini wazima wa afya ndugu zangu.
Nina shida na mkopo wa shilingi milioni 1.2 nitarudisha ndani ya miezi miwili tu na riba yoyote utakayoniwekea.
ASANTENI.
ANGALIZO: Najua kitu cha kwanza...
HABARI ZA WIKIENDI WANA JF, NDUGU ZANGU WATANZANIA, NINAOMBA UFAFANUZI.
Mimi ni mfanyakazi tlwa serikali.
NILICHUKUA MKOPO BANC ABC SH. MIL. 5.8
KWA MUDA WA MIEZI 72
NIMESHALIPA MWAKA...
Ndugu zangu za mida naomba kwa yeyote aliwahi kutumia machine za betting kama sehemu yake ya biashara anisaidie.
Ninafikiria kufanya biashara hiyo hivyo nilikuwa naomba mnisaidie niweze kujua...
Nashida na 1,500,000/= tshs narudisha 1,890,000/= tshs kwa miezi sita.
Tuwasiliane: ahmardz@gmail.com
Niko serious na dharura kidogo au mwenywe kujua microfinance yoyote ambayo mtu anaweza...
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles John Mwijage amepokea malalamiko kutoka India kuhusu utapeli uliofanywa na madalali wa mazao kutoka Tanzania.
Hivyo taarifa kutoka India zinamtaka...