Kwa muda mrefu nilikuwa naiona hii kampuni ya interchick inakua mpaka kufikia leo hii... Sasa hapa jamvini watu wengi wana plans za kufuga kuku na mayai na vifaranga
Hapa mjini wa akina mama...
Nashukuru niliwahi leta uzi hapa wa kupewa ushauri wa biashara hii ya nafaka specificaly mahindi, mchele, maharage, i mean daily used stuffs na jamii nimefikia pazuri sana, kimtaji na kimkakati...
ZIJUE NCHI 20 TAJIRI AFRIKA-TANZANIA PIA IKIWEMO HONGERA
1.Afrika Kusini
Pato la Taifa ni dola bilioni 576.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 47,190
2. Misri
Pato la Taifa ni dola...
Wakuu Habari?
Ninaomba kuuliza kuna mwenye taarifa za namna ya kusfirisha Conatainer ya Mzigo kutoka TZ kwenda Zanzbar taratibu zake, Tozo na mengineyo ni kiasi gani?
Naomba kuwasilisha
Je? Uko kwenye kazi ambayo huipendi? Yaani upo upo tu unasubiri saa 11 jioni ifike usepe na tarehe 30 ulipwe? Je? Ni kitu gani kinakujia kichwani mwako mwanzo kabisa ukisikia makampuni...
Hali ya meli bandarini kwa nchini kwetu hairidhishi,mpaka leo alhamisi ya tarehe 18/05/2017 saa tano kamili usiku 23:00pm ni kama ifuatavvyo.
Dar es salaam meli za mizigo/cargo + za...
Naomba kujizwa kuhusu biashara ya barber shop faida na hasara zake uendeshaji wake uko vipi na changamoto zake natanguliza shukrani za dhati. Mimi niko mkoani mbeya
Wakuu husika na mada naomba mwenye kujua chochote kuhusu biashara tajwa hapo, nimelenga kuifanya kwenye mkusanyiko wa watu,
Naomba kufahamu uendeshwaji wa biashara husika
Karibu mnisaidie
Habari zenu wakuu, ninashida wakuu,
Inanitatiza bado sijapata suluhisho mpaka mda huu na jambo lenyewe nakaribia kulifanya. Bila ya kuwachosha nianze na jambo langu ninalotaka msaada.
Ninataka...
Mtu mwenye mafanikio kiuchumi (tajiri) ana sifa tatu tu!
1. Anaweka akiba zaidi ya 20% ya mapato yake.
Yaani Account inasoma.
2. Amewekeza (investment) zaida ya 30% ya Mali zake, yaani Mali kuzaa...
Ndugu zangu naomba nichukue nafasi hii kupeleka lawama katika shirika la viwango Tanzania.
Hawa watu niwazee wa media pale wakipata kitu kisichoruhusiwa kutumika basi wataita vyombo vyote vya...
Mods naombeni uzi huu uwe sticky kwa manufaa ya wengi.
Maisha ya mijini hususani miji mikubwa kama Dsm mikopo ya hapa na pale ni jambo la kawaida sana. Riba za 60%, 50%, 40%, na kuendelea ni...
Habari, nina shida ya housing ya laptop aina ya Toshiba, niliangusha ikakatika lock za kushikia kioo ili kisimame
Kwa mwenye nazo tuwasiliane
0744666669
0657666669
0688666669.