any body who can assist me to know the grading systems used also..the division which can allow someone.. .To continue with high education and also which can allow to join different colleges...
Kiukweli necta cjawaelewa kiukweli na nimeona hawana nia njema na watoto we2 walioko shule ze2 za kata.Kwakua naona wameshindwa kutambambua utofaut wa mtoto yule alyepata
gred E na yule alyepata...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo kikuu cha Ardhi Dar es Salaam.Ninachukua Bachelor of Science in Accounting and Finance(BAF).Sijafanikiwa kupata mkopo japo nimejitahidi...
Naitwa norah pius ni mwalimu shule ya msingi wilaya ya kigoma mjini kwa yoyote anaetaka kuja huku tubadilishane ningependa tanga,arusha,kilimanjaro,dodoma,morogoro namba zangu 0785080410 asanteni.
UFAFANUZI: KWA NINI WANAFUNZI WENYE POINTI SAWA WAMEWEKWA MADARAJA TOFAUTI KWENYE MATOKEO KIDATO CHA NNE 2013!
Hatimaye Baraza la Mitihani (NECTA) limefafanua kizungumkuti kilichowakumba wengi...
Muda huu makao makuu ya necta matokeo yanatangazwa
UFAULU WAPANDA KIDATO CHA IV 2013.
Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka...
Nina B.A ED,OLEVEL NINA CIV B,HIST C,KISW B GEOGR B,ENGL B AGR B BIOS D CHEM D NA MATH F ADVANCE HKL BBB,NATAKA KUBADILI FANI NIINGIE AFYA AU MISITU NISAIDIEN ,KOZ GANI NAWEZA SOMA NA CHUO KIP NA...
Kuna jamaa kanipigia simu asubuhi,na kunambia eti serikali imetangaza kuwa kwa walimu wanaosubiri ajira mpya inawapasa kuomba kwa kuandika barua-zoezi hili huanza sasa! Eti ni kweli wakuu?
Wakuu!.
Kwanza kabisa poleni na heka heka za kila siku za hapa mjini.
msaada kidogo!
nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne
alama zake za ufaulu ni;
B/math-C
Engl- C
Kiswa-B
Bios- D...
Naombeni mnitajie Shule za #A_LEVEL ( ADVANCE ) Private Ambazo ni Nzuri Kwa Michoipuo ya #Art na #Science Ambazo zipo Mkoa wa DAR ES SALAAM :: Msaada NDUGU ZANGU , 0757645436 whatsApp | txt ( sms )
Law School kuna mkopo wa kusoma??....Ni kweli kuwa applicant akilipa ada anapewa mkopo wa accommodation na meal allowance?..Ninawaombeni majibu, please. Ninawasilisha, wana-JF
Wanabodi salaaam,najua tuko busy na ujenzi wa taifa,lkn mara moja tukutane hapa.wale wa toka enzi za buchs,weill bugando,hadi sasa cuhas,,wote kuanzia md,pharmacy,nursing,radiology,laboratory hadi...
Kama unaihataji murudia mtihani wako wa CSEE kwa mkoan Kilimanjaro kituo kilichobora kabisa kwa hudma zte muhmu kwa mwanafunzi ni ZACHARIA CENTER, kilichopo majengo karibu na kanisa la KKKT...