Steve Jobs ni mfanyabiashara, mwekezaji, na mgunduzi wa kampuni kubwa dunia ya APPLE na alizaliwa mnamo February 24, 1955 huko San Francisco, California nchini Marekani ambapo "aliasiliwa"(...
Alikuwa karani na mtoza ushuru wakati wa Ukoloni. Akanunua Lori akawa anasafirisha vifaa vya ujenzi. TANU ilipoanzishwa John Rupia akawa muweka hazina wa kwanza. Alisema”TANU haikuwa na Pesa...
Mwanamama Oummilkheir Hamidou baada ya kufanya utumishi kwa miaka 42 hatimaye leo anastaafu rasmi Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Tofauti na unavyofikiria sio kwamba anaenda kijijini kulima la...
Wakuu hapa nitawaletea matukio yote muhimu wakati wa vita hii ya Kagera. Sio kama mimi ndiye niliyeandika la hasha! Ninachokifanya mie ni kuwaletea hapa kutoka Gazeti la Mwananchi. Kaa nami upate...
Tarehe 2 January mwaka 1845, mwanadada Mary Moffat alifunga ndoa na kijana David katika harusi iliyofanyika huko nchini Afrika Kusini. Mary ni mtoto wa kwanza kati ya watoto kumi wa mzee Robert...
HALI YA SIASA ILIKUWAJE TANGANYIKA WAKATI INAUNDWA TANU NA HALI YA SIASA ILIKUWAJE TANZANIA WAKATI INAASISIWA CCM?
Sikujua kama CCM iliasisiwa jana tarehe 5 Februari, 1977 hadi niliposoma kwenye...
Jamhuri ya Madagascar ni nchi ya visiwa (island country) vidogo na vikubwa vinavyopatikana katika bahari ya Hindi vikiwa na ukubwa wa square mita 228,900.
Madagascar ni nchi ya kisiwa namba mbili...
Nchi ya Cambodia inapatikana kusini mashariki mwa bara la Asia. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2019 inaaminika kuwa Cambodia ina raia zaidi ya Million 15.
Nchi ya Cambodia kwa upande wa mashariki...
Wabusinenge (pia: kiholanzi: Bosneger (weusi wa porini), Maroon) ni neno katika kikreoli cha Surinam kwa ajili ya wakazi wenye asili ya Kiafrika ambao mababu yao walipelekwa Surinam kama watumwa...
Helow Wanajamvi!
Natumai mko poa!
Kwenye kupitia jarida flan! Kuna kundi linaitwaa Jesuist! Wanasema ni kundi na wenye nguvu kuliko CIA,M16,M15, KGB NA MOSSAD
Naombeni nifahamisheni...
The Bometts liked Moi, the tall, handsome and well-mannered orphaned boy who would stay with them during school holidays. Moi was to later marry their daughter, Helena Bomett (above centre with...
Eduardo Mondlane (Mwanzilishi wa chama cha kupigania Uhuru Msumbiji cha FRELIMO) akiwa na Ernesto Che Guevara katika ofisi za FRELIMO jijini Dar es salaam mwaka 1966.
Che Guevara alikuwepo Dar es...
Baadhi ya makabila ya Nepal huko kwenye milima ya Himalaya, na baadhi ya maeneo ya India kwenye jamii ya Wahindu wana utamaduni ambao mwanamke huolewa na ndugu wote wa kiume wa familia moja hata...
JEAN BEDEL BOKASSA,alizaliwa Feburuari 20 mwaka 1921 huko Afrika ya Kati,Central African Republic(CAR).
Ni mmoja wa madikteta wabaya Barani Afrika, ambaye alipinduliwa Septemba 20 mwaka 1979 na...
Let;s discuss about it. Nakuomba mwana JamiiForums utoe maoni yako; je hii ilikuwa biashara?
Kama ilikuwa bishara, nani aliyekuwa anawauza hao watumwa?
Je, njia za upatikanaji watumwa mfano...
Fahamu mambo muhimu yafuatayo kuhusiana na bara la Afrika.
HISTORIA YA DUNIA NA MAMBO YAKE
Fahamu mambo muhimu yafuatayo kuhusiana na bara la Afrika.
a) Ni bara la pili kwa ukubwa duniani kwa...
Katika hali ya kawaida wengi tunategemea kupata taarifa (informations) za matukio yaliyotokea ndani ya nchi kwa wingi zaidi either social, economic au political lakini kwa hapa bongo ukisema...
Nimefuatilia zamadam ni nini youtube kumbe Kuna archives za kutosha Sana.
Sikuwa well informed kwakuwa by the time Hilo neno limebuniwa Tanzania nilikuwa italy kwa 15 yrs late Mkapa era
Nilikuwa...
THE ASSASSINATION OF THE FIRST PRESIDENT OF ZAIRE (CONGO DR) 59 YEARS AGO:
The CIA confirmed that the Assassination of Patrice Lumumba was the most important operation conducted on the African...
Picha hii na marehemu Maulid ''Chubby'' Tosiri tumepiga nyumbani kwake Magomeni Mikumi tarehe 22 October 2015 baada ya kupata taarifa kuwa hali yake haikuwa njema nami nikenda kumjulia hali ...