Ikiwa wewe ni mwandishi wa vitabu, makala, n.k au ni mchapishaji (publisher) unayetaka kutafsiriwa maandiko kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili au kinyume chake tuwasiliane.
Ni kwa gharama nafuu...
Habari hongereni sana walimu wapya kwa ajira mtaani hapafai.Ndg zanguni naombeni msaada juu ya maneno yafuatayo;
1.Hotel
2.Motel
3.Cafe
4.Restaurant
5.Bar
6.Grocery
Inawezekana huku mtaani...
Sera inayotumika kwanza ipo ndani ya sera ya utamaduni na hivyo lugha hii inakosa mawanda mapana.
Urasimishwaji wa Kiswahili kama lugha ya Taifa umeongozwa na matamko ya viongozi mara nyingi...
Wakati nikisoma kitabu cha shule, nilikuta maneno matatu ambayo sikuweza kuyatafsiri kutumia kamusi kadhaa. Naweza kukisia maana yao, lakini naomba ufafanuzi sahihi.
Lebasi (Labda ni aina ya...
Habari zenu wana jf,nimepewa swali binafsi linalotaka niandike insha isiyopungua kurasa mbili nieleze kuhusu ushairi wa kiswahili na nihitimishe kwa kutunga beti mbili za mashairi.Naomba msaada...
Naomba tafsiri ya sentensi hii:
Some churches are no longer places of worship, instead they have become places of entertainment (in order to attract people).
Hasa napenda kujua tafsiri ya neno...
Kupitia shira la habari la BBC SWAHILI juzi .. niliona Kiswahili kimekua Lugha ya nne kutumika na wati kutoa maoni yao kwnye mitandao ya kijamii hususani Tweeter .
Ikiwa ya kwanza ni Kiingereza ...
Kwa nini watu wengi wanaandika majina yao kwa kutumia herufi mbili kwa mf. Zitto na Sio Zito, ao Wassira na Wasira? hiyo "ss" au "tt" inatamkwaje? kwa maana "s" au "t" inaeleweka inavyotamkwa...