Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Makosa haya yapo kwa watu wa kada tofauti. Ongezea na wewe mengine Bronchure--------------------akimaanisha Brochure Inssue.................................akimaanisha Issue...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Karudi baba mmoja toka safari yambali, kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili... watoto wake wakaja ili kumtaka hali wakataka na kauli iwafae maishaniiii akatamka mgonjwaaa ninaumwa kwelikweli...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kufahamu kiswahili cha maneno haya, 1.BILL 2.INVOICE
0 Reactions
2 Replies
938 Views
SICHO HICHO Hiki kilichoko sicho, hiki sicho kilichoko, Ndicho hiki hichohicho, ndicho hiki hakiko, Hiki ni kile si hicho, kile kisichokuwako Hakuna cha mgao, kilichoko ni historia; Ya...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za saa hizi wanajamvi Iko hv ktk hali ya kushangaza kwa watanzania ni pale mtu anapoongea lugha ya kiingereza anajihisi kma shujaa aliyemwondoa Gaddaf madarakan kuliko pale anapotumia lugha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chura ni mnyama mdogo sana ambaye binadamu hamthamini na wala kumuogapa,lakini Tembo pamoja na kuwa mnyama mkubwa kuliko wote wa porini anamhara sana chura licha ya udogo wake. Tembo hata...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
1. Ndimi mvuvi halisi, Kulla vuvi nalijuwa Nivuwaye mikambisi, na papa wenye khatuwa Wala sivui vingisi, mishipi haisumbuwa Nimekwambiya elewa 2. Sivuwi bahari ndogo, hatia nanga fuoni...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
NENO GANI? Malenga nawaamsha, asubuhi na mapema Ndoto imenigutusha, mimi sikulala jama Malaika wa kutisha, ndotoni kanitutuma Kanifumba fumbo gumu, sikweza kulitanzua Kaniambia Lubua, hima unipe...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Niko ughaibuni. Ninataka kufafanua kitu fulani kwa kizungu lakini nimeshindwa kujua KWALE anaitwaje kwa kingereza.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kumekuwa na tabia ya wenye kusimamia kiswahili kulazimisha kuweka maneno ya lugha za mpya katika kutika kuongeza msamiati wa lugha ya kiswahili, mfano maneno kama ngamizi ya kupakata na ngamizi ya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Sunday, October 27th 2013
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mafundi wakutohoa, si wa sindano kutona, nguo ukizitonoa, kusema atazishona, na zile lozichojoa, kiraka atakiona, Tegua Siache lozipasua, kidhani hazitapona, hata ulozitatua, na nyuzi zikaachana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf naomba msaada juu ya matumizi ya matumizi ya maneno yafuatayo: Hoja ya nguvu na Nguvu ya hoja. Mtu anaposema mathalani jambo hili tutalimaliza kwa nguvu ya hoja anataka kusema nini na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
awe anaweza kuandika na kuongea kiispania, si lazma awe fluent, estoy principiante.
0 Reactions
67 Replies
6K Views
ndugu zangu naomba kuuliza kama naweza kupata kamusi ya TUKI ambayo ipo kwenye mfumo wa software.
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Nini ufanano kati ya fonetiki na fonolojia
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Usual things Survival kit (for english speakers): 150 sentences Namna ya kupronounce ile "r" ya kifaransa (extremely useful) Unlicking the mysteries of french pronounciation (Also important)...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mnazijua PEMBE ZA NDOVU? Ndovu (tembo) hana PEMBE kama watu wengi wanavyodhani. Majangili huwinda tembo kwa ajili ya kupata vipusa ambavyo huviuza, hasa ktk nchi za mashariki ya mbali. Vipusa hivi...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Hivi wasomi wa kiswahili napata shida katika sentensi ifuatayo naomba usahihi,''jamuhuri ya muungano wa tz''au jamuhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar
0 Reactions
1 Replies
982 Views
KWenu wataalam wa lugha, huwa ninapata wasiwasi kidogo ninaposoma habara kama 'lori la mizigo limepata ajali' au 'basi la abiria'. Kwa mtazamo wangu ninaona mtu akishasema tu lori inatosha na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…