Habari zenu wanajf...
Mara kwa mara napata matangazo/taarifa za msiba kupitia hapa jf,lakini cha kushangaza mara zote zinakuwa na heading inayoanzia na TANZIA. Najiuliza maswali mengi juu ya hili...
ndika jibu kwa neno moja la kinyakyusa kwa kila swali
1.mtoto aliyezaliwa kilion anaitwaje
2.mtoto wa kwanza wa kike wa chifu (princes) anaitwaje
3.mkewa mfalme
4.mtoto aliyezaliwa akakua...
Wanaotengeneza matangazo wanachangia sana kuharibu Kiswahili. Kama watu wa BAKITA na watetezi wengine wa Kiswahili wanasoma uzi huu wajitokeze kukomesha au kuwaelimisha watengenezaji wa matangazo...
1.Mdogo wa baba, mkubwa wa baba ,kaka yake na mama kiswahili kila moja na jina lake na msikilizaji anajua moja kwa moja anatoka upande gani wa wazazi mfano Baba mdogo, baba mkubwa, na mjomba...
Mtu anaweza dhani kuwa maneno deadline na addiction hayana visawe vyake katika lugha ya kiswahili. Unaweza kuta mtu anasema "...hivi deadline ni lini...?" au "....jamaa kesha addict kwenye...
Naomba msaada wenu wadau wa lugha mimi naishi dodoma nahitaji kujifunza lugha ya kingereza niijue vizuri kwa kuiandika na kuiongea!je ninani/mahali gani kwahapa dodoma naweza kupata msaada kwa hilo?
habari ya siku ya leo wapendwa wana JF, naombeni mnisaidie kutafsiri maneno yafuatayo kwa lugha ya kiswahili maana nimehangaika kutafuta tafsiri yake bila mafanikio yoyote.
Recipes
Cuisines
Main...
I WISHED YOU LOVED ME BACK
Form 3 - 1st term
As I stood there with my friends
on the top floor of the school building
chatting and laughing on silly jokes.
I saw a girl coming our way with...
Wambugi na Manguli wa lugha naomba tafsiri halisi ya maneno haya. Kwa wale tuliosoma au kuishi maeneo ya pwani miaka 1970s au Dar es Salaa, ingekuwa tusi mtu kutumia maneno ya Kukatwa mtu au...
hii taarab nimeisikia kwenye redio tu, baadhi ya maneno huenda yasiwe sahihi, ila maneno yake yamenifikirisha sana. Hivi hapa walikuwa wanamaanisha nini hasa,, KUKU ni nani, na kwa nini anaonekana...
Hi
Just to share with you the below materials from my Library.Enjoy
The past continuous tense
A: Form
The past continuous tense is formed by the past tense of the verb to be + the present...