Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Heshima wakuu.....
Nimesoma leo na baada ya kufuatilia ule mkutano wa wahandisi kuel Arusha, nimefurahishwa sana na kufunguka kwa mawazo ya watendaji wetu wa "Road Sector" hapa Tanzania...
Inawezekana vipi ziwepo taasisi zingine zinaonekana au zinajiona kuwa bora na haki zaidi ya zingine?
Iweje JWTZ watumie maji na washindwe kulipa wakati hata kwenye bajeti zao malipo hayo...
Are our leaders above the law?
BBC News Online
Nigerian president Umaru Yar'Adua revealed at the World Economic Forum that he supports the removal of the immunity clause from his country's...
Kumekucha kama kawaida na natumaini nyote wadau mko salama . Kwa wale ambao tuko Tanzania mapema leo hii tumeshuhudia muswada unasomwa na ndugu Nagu. Katika Muswada huo kuna mapungufu yamejitokeza...
Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania, wameamua kufungua kesi mahakamani ambapo wanataka kifungu cha 13 cha sheria ya ndoa ya 1971 ambacho kinaruhusu binti wa miaka 14 kuolewa kuwa ni...
taarifa
TAARIFA KWA UMMA
Sisi Chama cha wanasheria Tanzania Bara tumepokea kwa masikitiko nakala ya barua kutoka kwa Hakimu mkazi wa Mahakama ya Kisutu Mh. Addy Lyamuya kwenda kwa Hakimu Mkuu...
Shivji achambua sheria ya madini
*Asema mikataba iliyosaniwa chini ya sheria ya 1998 inakiuka Katiba
*Asema inazuia uhuru wa Bunge kuifanyia mabadiliko
*Ataka sheria ifanyiwe...