Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
  • Sticky
Habari WanaJF, Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu tabia ya baadhi ya wanachama kufanya mzaha kwa watu wanaotafuta wenza wa maisha kwenye jukwaa hili la LOVE CONNECT. Tunashauri Jukwaa hili...
29 Reactions
146 Replies
64K Views
Awe na sifa zifuatazo Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30 Awe Mkristo Awe tayari kupima hiv Awe anaishi dar es salaam Elimu bachelor ya kozi yeyote ile Sifa zangu Nina miaka 33 Kazi; duka kariakoo...
4 Reactions
76 Replies
543 Views
Wanawake huwa tunatongozwa, ila tu niseme ukweli hata sisi tunavigezo vyetu ambapo familia huwa inaanza kutufundisha pindi tunapo balehe. Bila hivyo vigezo, inakuwa kazi sana, na ndio unajikuta...
13 Reactions
60 Replies
783 Views
Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe...
6 Reactions
27 Replies
312 Views
1.Ana umri miaka 36 2.mwislamu 3.Yupo Dar ni injinia 4.Anataka mwanamke mtanzania kwa ajili ya kuishi nae kwa ndoa 5.Awe na umri 25-35 6.Ajue kiingereza Huyo bwana nimekutana nae hapa mza alikuja...
8 Reactions
40 Replies
562 Views
Wakuu hodi humu, Nimekuja na nia ya dhati kabisa kutaka Binti mmoja tu awe nami, sijali kuhusu elimu yake. Awe tu katulia, life is too short kumanga manga. Kama nia yako imenyooka karibu PM Iko...
1 Reactions
6 Replies
161 Views
Natafuta mwanamke aliye serious kuolewa mwaka huu Niko na miaka 30 Mkristo Aliye tayari tuwasiliane
3 Reactions
9 Replies
215 Views
Done.
4 Reactions
5 Replies
279 Views
NATAFUTA MKE (MWANAMKE WA KUOA) Assalaam aleykum warahmatulahi ndugu zangu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa. Mtu atajiuliza why, nitafute mtandaoni ? Binafsi naamini...
43 Reactions
157 Replies
14K Views
Looking for a kind, authentic soul to share laughs, deep talks, and life’s little moments—hoping for a friendship that could grow into something real. Age 20 to 30's DMs open!” Let me know if...
2 Reactions
4 Replies
74 Views
Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51...
11 Reactions
28 Replies
453 Views
Sifa zangu: Umri wangu ni kijana Ni mwajiriwa na mfanyabiashara Kigezo cha mwanamke Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani
18 Reactions
27 Replies
481 Views
Habari zenu mimi nikijana wa kitanzania umri wangu 35 sio mlefu wala sio mfupi sio mnene wala sio mwembamba dini yangu ni Muslim naish Dar ni mfanya biashara naitaji mwanamke awe Muslim miaka 20...
1 Reactions
10 Replies
468 Views
Habari ndugu zangu. Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu. 1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo; 2. Umri...
6 Reactions
37 Replies
474 Views
Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa...
4 Reactions
24 Replies
562 Views
Nina miaka 33 Dini mkristo Elimu Degree Kazi muajiriwa Natafuta mke asizidi miaka 30 Sijabadili Id kama wengine ni maisha yangu ya nyuma tuu karibuni. Kigezo Awe tuu na hofu ya Mungu. Awe tayari...
5 Reactions
12 Replies
277 Views
Nina furaha kubwa wiki hii,nimefanikisha mwanamke na mwanaume mmoja,kukutana na kukubaliana kuoana.Moyo wangu umejaa furaha baada ya wote kunipigia simu na kuniambia baba asante sana,harusi yao...
2 Reactions
2 Replies
92 Views
Niwe tu muwazi nahitaji mume Mkristo miaka kuanzia 45+ asiwe mume wa mtu, najua wengi wapo wapweke humu karibu tuyajenge. Awe tayari kupima HIV.... Awe na akili Timamu..... Awe anayejua...
18 Reactions
79 Replies
1K Views
Male 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba. Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu. Mwanamke awe tayari kushika mimba...
36 Reactions
290 Replies
12K Views
Namuomba MUNGU Anipe mchumba na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra, Sio mnene sana/Chaga Ni wa kawaida Sina Ugonjwa wowote Naomba kama kuna mwenye hitaji la...
33 Reactions
126 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…