Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
Uwanja ukowazi.
Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa.
Sifa zangu:
Umri : 50
Elimu: shahada 1 &2
Kazi: Mfanya biashara
Dini: Mkristo...
Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!
sifa za anaetafutwa
1. Asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna...
Jamani mwenzenu imenikuta mara nyingu sana toka niweke thread ya kutafuta mchumba, si mimi tuu hata rafiki yangu James wa JF kakutana nalo, unakuta umeweka hiyo thread then wanaume kibao wanakupm...
Sifa za mwanamme
Mrefu maji ya kunde,
Elimu degree,
Umri 30,
Mpole na mcheshi,
Kajiajiri,kipato cha kubadilisha mboga tu.
Makazi Dodoma
Sifa za mwanamke anaehitajika
Elimu kuanzia form...
Kama kisemavyo kichwa cha habari natafuta mke awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 25 mpaka 28
Awe mkristo ila sio msabato
Elimu-degree yeyote
Akubali kwenda kupima group la damu, hivi na...
Mwonekano
1. Mrefu
2. Mweupe
Umri
Kuanzia miaka 20-27
Dini
Mkristo (Msabato)
Kabila
Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe.
Elimu
Diploma/ Degree
SIFA ZANGU
Mwonekano
1. Mrefu
2...
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu...
Habari za weekend ndugu zangu,
Kuna muda kwenye Maisha unahitaji mtu sahihi wa Ku share naye upendo na mapenzi yako, mtu ambaye atakudekea, utamdekeza, utampenda na kumuheshimu, ujisikie furaha...
Mimi nipo Dar na nahitaji mke aliye mnene na mkweli pamoja na mapenzi ya kweli.
Nipo Dar na umri wangu miaka 54 na umri wa mke usiZidi miaka 50 sina tatizo la dini wàla kabila.
Tuwasiliane kwa...
Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii...
Mimi ni mdada
Umri wangu ni 28
Mrefu kiasi
Rangi maji ya kunde
Nina mtoi 1
Mengineyo: pm
nahitaji mwenza
Awe serious na mwenye kujitambua
Muislam mwenye hofu ya mungu
Umri 32-48
Hi,wanajamvi namtafuta rfk yangu kpnz anaitwa vivian anakaa Arusha Mianzini na anafanya kaz NGOs mwembamba mrefu mweupe na ana dada yake anaishi Upanga dar kama ameuona ujumbe huu au kunamtu...
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini...
Achani kujidanganya kwa vi2 ambavyo vko wazi,wewe kama ni muumini mchumba utampata kanisani/msikitini iweje leo uje utafute humu jamvini?tena humjui ingawa umeweka vigezo unavyovipenda lakni...