Hi you all happy valentine.
I am trying hook up my friend with a blinddate. She is a very nice lady she has a daughter she is 5"9 caramel, nice body very smart, she doesnt smoke, drinks...
Natafuta wa mwanamke wa kuchati nae ukiwa safi nicheki 📥 nikupe namba it real bored here.
Mimi ni late 20's, nipo DSM, Open minded and So. Ukuwa na upright wa 20's being good, ukuwa DSM impressive...
Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu
1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa
Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali...
Habarini wadau wote wa JF mimi kijana wa 25-26 nataka mwana dada 18-24 wa kuoa mwenye elimu yeyote awe na biashara au kazi yeyote mjanja wa towm hapa dar es salaam
mimi form 4...
Napenda kuwashauri wote mnaotafuta wachumba jf ni ngumu sana kumpata m2 unae weza kwendana nae akili.
Wengi wao tayari wameshaumizwa hivyo kila mtu wanamchukulia na kumuhisi kama anaweza tenda...
mimi ni mwanamme mwenye miaka kamili elimu yangu inatambulika tanzania mchumba awe na sifa zifuatazo;
1 mpenda watu
2 above 18 yrs
3 moderate tall
4 elimu ni mengineyo
5 awe na life skills
6 awe...
Hbr wanajamvi
kama kunamdada aliye zaliwa 08/02/1980 mpaka sasa hajapata mme basi anipm na shaka aondoe amempata ila baadaye ntahitaji uthibitisho asante siku njema
Nina 23yrs, natafuta mwanaume ambaye tutakuja kuwa mwili mmoja. Awe Mkristo dhehebu lolote, asiwe na mke sipendi wizi na asiwe sharobaro kwani mimi sio cster duu!.
Kwa maelezo zaidi nipm.
I am single christian woman of 29 yrs, employed and chagga by tribe looking for a single christian man ageing 33 - 35 to develop a relationship with and eventually hatch into marriage ,preferably...
Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamvi, naimani mwaendelea salama kabisa na majukum yenu ya kulijenga taifa hili la Tanzania ili lifikie uchumi wa kati kufikia mwaka 2020-2025.
Nisiwe na...
Asalaaam aleykum
mm n kijana mwenye umri wa miaka 24 natafuta mchumba ambaye umri wake uwe kuanzia 18 had 30 HV
mm najishughulisha na ufugaji ila yey shughul c lazma
mm n mrefu wastn fut 5.5,maji...
Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha tangazo langu kisemavyo,nahitaji mume mkristo mwenye hofu ya Mungu.Awe na umri kuanzia miaka 34 na kuendelea,mkweli,muwazi na awe na shughuli halali kumpatia...