Mega Projects in Tanzania

  • Sticky
Cameco said uranium spot prices averaged $125.83 US per pound in the second quarter of 2007, compared to $43.42 US in the same quarter of 2006. New hope for uranium wealth in Dar By WILFRED...
0 Reactions
260 Replies
70K Views
1. PSPF TOWER (MAWASILIANO) 2. TPA TOWER 3. PSPF TWIN TOWERS 4. MWALIMU NYERERE FOUNDATION TOWER 5. MZIZIMA TOWER (JIPYA, Bado kidogo Sana kukamilika)
2 Reactions
47 Replies
978 Views
Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya na home Teaching pia Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp) 0625012562
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Kuna mdau anauliza ikitokea mkandarasi alisaini mkataba wa kujenga kilomita 50 za lami labda kutoka Njombe kwenda Ludewa baada ya kufika site anaona mbona kuna njia ya mkato naweza kupunguza...
0 Reactions
2 Replies
282 Views
Wakuu hapa tanzania tofauti na mwadui ni eneo gani limegundulika kuwa na viashiria vya madini ya almasi?
1 Reactions
1 Replies
852 Views
Kumetokea ajali mbaya Wilayani Karagwe iliyohusisha Semi iliyogonga Hiace na Coaster.Ajali hiyo imetokea majira ya saa sita leo maeneo ya Kihanga Berrier.. Inasemekana zaidi ya watu 15 wamefariki...
1 Reactions
4 Replies
655 Views
Serikali Kupitia Kamishna wa Miradi ya Ubia PPP David Kafulila amesema ujenzi wa Barabara ya Kulipa njia 4 kutoka Kibaha-Morogoro ExpressWay iko katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi tayari...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji 2. Kituo cha DIT na KISUTU 3. Kituo cha MSIMBAZI...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini Wakuu, Nimekuja na tangazo langu fupi hapa, Nimefungua group la WhatsApp ambalo ni kwaajili ya wateja wangu ambao nitakuwa nachapisha picha na bei za bidhaa mbalimbali za mapamboo ya...
1 Reactions
4 Replies
578 Views
mwananchi_official Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Angikana Tanzania pamoja na Askofu Jackson Sostenes wa Dayosisi ya Dar es Salaam, wamewasilisha pingamizi Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi...
1 Reactions
2 Replies
520 Views
Marekani imetumia $22.76bn kusaidia vita vya Israel dhidi ya Gaza na operesheni dhidi ya Houthis nchini Yemen, kulingana na ripoti ya Taasisi ya Watson ya Chuo Kikuu cha Brown. Msaada wa kijeshi...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Habari za jioni, nimekaa nimewaza lakini naona Samia utawala wake wote will always be compared na wa Magufuli, Ila sababu yeye bado yupo madarakani ana uwezo wakufanya makubwa sana kama akiwa na...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Kutokana na kupanda kwa bei na nauli za mabasi. Matumizi na usimamizi mubovu wa government project. Mafuta yanauzwa kwa kulanguliwa (lejaleja) na viongozi wanajuwa na wanaona from shina mpaka...
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Habari za majukumu wakuu, naomba kufahamu bei ya gunia la dagaa wakavu toka mwanza, musoma au bukoba na gunia ilo lina kg ngapi. Biashara hii nataka kuifanya iringa hivyo naomba kujua na gharama...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimeona habari kuwa mwezi ujao mradi wa BRT wa mabasi yaendayo kasi unaanza kujengwa kuelekea Tegeta bunju hadi Bagamoyo. Habari kamili hiyo hapo. My take: Nitashangaa sana kusikia watakaojenga...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Serikali itakamilisha ujenzi wa barabara nne za juu ‘flyover’ katika jiji la Dar es Salaam ndani ya miaka mitatu na daraja la Kigamboni Juni mwakani, Waziri wa Ujenzi, Dk John...
2 Reactions
23 Replies
12K Views
Mh.Waziri Mkuu awali ya yote nakupa pongezi na shukrani Kwa kulipambania taifa letu kwenye pilika za kuleta maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na uwezo wa kuendelea kulipambania taifa letu Ili...
2 Reactions
0 Replies
802 Views
Habari wadau , nauliza bei ya mashamba wilaya ya arumeru kwa ekari moja, mweye kujua
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Mradi Mwanza wa majitaka umeishia wapi. au ndio mwisho hvyo?
0 Reactions
0 Replies
763 Views
.Mradi wa Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa Baadaye. Utangulizi: Helium, gesi adimu isiyoweza kuchoma, isiyo na harufu, isiyoonekana, na isiyo na ladha, imekuwa ikipata...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…