Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

0 Votes
Kilimo cha kimkakati ni aina ya kilimo kinacholimwa kwa lengo la kuzalisha mazao yanayotosheleza mahitaji ya nchi na kubaki ziada. Kwa miaka mingi sasa kumekuwa na tatizo la upungufu wa mafuta ya...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Upvote 0
1 Vote
MUSTAKABALI WA ELIMU YA TANZANIA NA UHUSIANO WAKE KWENYE MASOMO YA UJASIRIAMALI. ELIMU YA MSINGI Tunapozungumzia Elimu ya msingi kwenye nchi kama Tanzania ni vizuri kujua umuhimu wa Kuhusisha...
1 Reactions
1 Replies
892 Views
Upvote 1
0 Votes
SIMULIZI INAYOWEZA KUBADILI MAISHA YAKO KWA ZAIDI YA 79% ▪"Kwa Kweli Mwenyezi Mungu hakukosea Kabisa Kuniumba. Tazama Uso Wangu unavyong'ara, Ngozi Nyororo, Jicho Zuri kuliko la Ray C, Kila Nguo...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Upvote 0
12 Votes
Kila mwanadamu ana nafsi (self) ya kipekee ambayo inahitaji mazingira chanya na msukumo wa ndani (internal will) ili kukuwa. Wengi wetu hatuthamini msukumo wa ndani kwenye ukuaji wa nafsi zetu...
9 Reactions
9 Replies
4K Views
Upvote 12
3 Votes
Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 3
0 Votes
Sio siri kuwa miradi mingi ya nyumba za makazi na biashara hushindwa kuliteka soko kwa Watanzania wengi hasa wa kipato cha chini na badala yake nyumba nyingi zimebaki tupu bila wapangaji ama...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Upvote 0
3 Votes
1. UTANGULIZI Ifuatayo ni simulizi yangu ya kweli na majina yaliyotumika ni halisi kwa watu na mahali. Kuna kijana mmoja anaitwa Abdul Mohammed. Nadhani sasa ni mtu mzima maana nilisikia alioa...
3 Reactions
0 Replies
846 Views
Upvote 3
0 Votes
Sipo hapa kukufurahisha, Hapana. Sipo hapa kukupa utajiri, hapana. Lakin nitahitaji mpaka kufikia mwisho nibadilishe mtazamo wako kwasababu mtazamo wako ndo adui wa kwanza wa mafanikio yako...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Upvote 0
0 Votes
Maendeleo na umasikini ni vitu vinavyoelekeana kwa kukinzana. Kupiga hatua kimaendelea kunadidimiza na kuuzika umasikini. Na umasikini unamfanya mtu asiendelee katika Nyanja yeyote ile...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Upvote 0
14 Votes
Kila siku zaidi ya tweets milioni 500 zinaandikwa na watu mtandaoni duniani ambazo ni sawa na tweet bilioni 200 kwa mwaka duniani. Ongeza na picha zinazokadiriwa kufika milioni 350 ambazo huwekwa...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Upvote 14
0 Votes
NI KWANAMNA GANI TUTAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUTOKA VYUONI Elimu ya juu kila mwaka inazalisha vijana wapya wenye taaluma mbalimbali ambao wanakuja kushindana kwenye soko la...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Upvote 0
0 Votes
Mfumo wetu wa elimu nchini Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika zilianzia nyakati za baada ya ukoloni. Waliotuletea elimu nia yao ilikuwa kutufanya "watumwa katika fikra zetu" kwa sababu tulikataa...
1 Reactions
0 Replies
739 Views
Upvote 0
2 Votes
Mwenendo wa mwanadamu katika maisha huchangiwa kwa asilima mia moja na mchango wa tamaduni, kwani hakuna mwanadamu asiyetokana na utamaduni fulani. Utamaduni unatofautina kutoka kwenye bara moja...
1 Reactions
5 Replies
979 Views
Upvote 2
0 Votes
Kwa muda mrefu watu tumekuwa tukizungumza namna mbalimbali za kukuza uchumi kuongeza ajira ili kila mmoja afaidike kwenye keki ya taifa. Nimeona si haba na mimi nikitoa mawazo yangu katika namna...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Upvote 0
1 Vote
Covid - 19 ni ugonjwa unaosabishwa na virusi vya corona. Ugonjwa huu kwa ambao upo kwa takribani miaka miwili sasa unasambazwa kwa njia ya hewa toka kwa mtu mmoja aliye athirika kwenda kwa...
1 Reactions
0 Replies
662 Views
Upvote 1
0 Votes
Habari! wanajukwaa, nimekuwa msomaji wa bandiko mbalimbali za wanajukwaa hili kwa kipindi kirefu hata kabla sijajiunga rasmi humu bandiko hizo zimeniongezea maarifa na kunihabarisha kwa kiasi...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Upvote 0
2 Votes
Ni takribani miaka ishirini (20) sasa imepita tangu kutokea kwa tukio adhimu kabisa ambalo kwa kiasi kikubwa nadiriki kusema liliweza kubadili historia ya maisha yangu. Sakata zima linaanzia...
2 Reactions
0 Replies
612 Views
Upvote 2
0 Votes
Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Upvote 0
7 Votes
Ondoka, nenda kwenu, mwanamke gani wewe, beba mizigo yako na watoto wako, sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Upvote 7
1 Vote
Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…