Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

3 Votes
Miaka kadhaa nyuma wahalifu wa mitandaoni walilenga sana Computers aina ya desktop na laptops kwani shughuli nyingi za kifedha zilizohusisha internet zilitegemea sana vifaa hivyo. Lakini kwa sasa...
3 Reactions
3 Replies
5K Views
Upvote 3
1 Vote
UMASKINI NA UVIKO-19 (COVID -19) Athari za janga hili kwa umaskini hutegemea kwa sababu kadhaa. Kuongeza usawa na kupungua zaidi kwa ukuaji wa uchumi inaweza kusukuma watu zaidi katika...
1 Reactions
0 Replies
849 Views
Upvote 1
3 Votes
Andiko langu linaanza kwa kusema Tanzania inaweza kuwa nchi nambari moja duniani katika ujenzi wa ajira nyingi kwa vijana na kila mtu akabaki akijiuliza imekuweje kwa muda mfupi namna hii?. Nchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 3
2 Votes
ULAJI BORA NI NINI? Ulaji bora ni aina ya mlo ambao hutokana na kula chakula chenye mchanganyiko wa angalau chakula kimoja kutoka katika makundi matano ya chakula. Mfano Ugali, Samaki,Kisanvu...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
Ikiwa suala la ajira limeendelea kuwa changamoto kubwa sio tu nchini bali pia nchi jirani, ni wazi kua kujiajiri imekua fursa pekee kwa vijana kujipatia kipato. kwa bahati nzuri tumejaaliwa vyanzo...
1 Reactions
0 Replies
731 Views
Upvote 2
6 Votes
Tangu kuanza kwa huduma za kutuma na kupokea fedha kwa njia za simu za mkononi huduma hizi zimekuwa maarufu sana na kuchangia kurahisisha maisha ya watu hasa wale wa kipato cha chini tangu...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 6
1 Vote
Katika jamii zetu yapo makundi Mbalimbali ambayo yanakumbwa na unyanyasaji, Ubaguzi pamoja na ukatili. Licha ya kuwa wapo watu wengi ambao wankumbwa na hali hiyo ila nitajikita katika makundi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
3 Votes
Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi iendane na spidi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology). Blockchain technology ni teknolojia mpya iliyogunduliwa mwaka 2008 na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 3
4 Votes
Waelewe watu usiwahukumu watu Binadamu hufanya maamuzi kwa hisia alizonazo kwa wakati huo Akiongea maneno mazuri au mabaya anafanya hivyo kwa sababu ya hisia zake kwa wakati huo sio kwa sababu...
3 Reactions
0 Replies
823 Views
Upvote 4
0 Votes
Watu waliostaarabika kimaadili na mienendo huhifadhi mazingira yao kwa kutambua kuwa kufanya hivyo ndio kuhifadhi maisha yao. maana sahihi ya neno mazingira, ni kila kitu kinachomzunguka mwanadamu...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Upvote 0
1 Vote
HAKI ZA BINADAMU Utangulizi Mnamo Desemba 10, 1948, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha Azimio la Haki za Binadamu (UDHR), likitangaza haki zisizoweza kutolewa ambazo wanadamu wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
1 Vote
Katika Taifa lolote lile lililo huru si ajabu kuona majukwaa mbalimbali yakishiriki katika mijadala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuibua hoja nzito...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
3 Votes
Habari wana JF Jamii inategemea uwepo wako ili uweze kuleta mabadiliko chanya, lakini haiwezi kubadilika kama hauto weza kubadili mtazamo wako unao kufanya ushindwe kutambua na kutimiza yale...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 3
1 Vote
Swali kuu litakalotuongoza ni, unapokosa ajira maana yake ni nini? Tunaangazia jitihada kadhaa wanazoweza kuzitafanya Vijana kutatua tatizo ya kazi badala ya kusubiri ‘mfumo’ uwatafutie majibu...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Upvote 1
0 Votes
Salamu wanajukwaa. Elimu juu ya chanjo, kitaalamu 'vaccine' MAANA YAKE Kwa ufupi, hizi ni biomolekuli ambazo hupewa mtu kwa lengo la kuupa mwili kinga ya kupambana na ugonjwa fulani. hivyo basi...
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Upvote 0
2 Votes
Serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu hutoa mikopo (kwa riba) kila mwaka kwa vijana wanaofaulu ili kuwawezesha kupata elimu ya juu. Binafsi naona jambo hili si sawa, kwani Elimu Ni moja...
2 Reactions
0 Replies
729 Views
Upvote 2
5 Votes
Mara kwa mara kumekuwa na malalamiko makubwa saana kuhusu Mapungufu katika sector ya Afya hasa katika nchi zetu za Afrika {Sana sana katika nchi ziitwazo dunia ya Tatu (3rd world countries) Ambazo...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 5
1 Vote
Mchango wangu in kama ifuatavyo:- Uchumi na biashara- Serikali itoe elimu kwa wananchi kuhusu biashara na kodi, pia iweke kodi rafiki kwa wafanyabiashara ili watu wengi zaidi kutoka ndani na nje...
1 Reactions
0 Replies
703 Views
Upvote 1
1 Vote
Kilimo ni taaluma inayojulikana na pia ni mwajiri mkubwa wa wananchi wengi katika taifa hususani kwenye nchi zinazoendelea mfano; Tanzania. Japokua watu wengi wanaojishughulisha na kilimo Kama...
1 Reactions
0 Replies
623 Views
Upvote 1
4 Votes
Naweza onekana mwendawazimu na nisiwe na akili kabisa kwa walio wengi. Lakini kwakuwa hii nafasi imejitokeza acha niandike mambo ambayo yamekuwa yakinisumbua kwa miaka zaidi ya miaka 15 sasa. Hadi...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Upvote 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…