Tutajenga Madarasa Mapya hadi lini? Je kujenga Madarasa kila mwaka sio suluhu
Kama kadri wanafunzi wanavyo ongezeka na madarasa mapya yanajengwa basi ni hatari na kuna wakati itafikia maeneo...
Ukiwauliza madereva, kama wangependa askari wa usalama barabarani wawepo au wasiwepo barabarani, utashangaa pale robo tatu ya idadi ya madereva uliowahoji watakapokujibu kuwa wangependa barabarani...
Mabadiliko yenye tija katika ufugaji ni ubeti unaoimbwa kila muda Tanzania,Afrika na duniani kwa ujumla wake. Hii inachagizwa na umuhimu wa suala la ufugaji katika maeneo makubwa matatu ambayo ni...
Nchi yoyote inayotaka kuendelea inahitaji uwajibikaji na utawala bora. Katika Tanzania, vyombo vya habari vinalo jukumu kubwa katika kukuza uwajibikaji na utawala bora. Kupitia andiko hili...
KACHIRU SHUJAA WA MTAKUJA SHULE YA MSINGI.'
Mwanzo
...Ndugu msomaji karibu pamoja nami kwa faraja nikikusindikiza kusoma simulizi hii ya kuvutia ya Mwalimu Kachiru na mafanikio ya Shule...
TANZANIA KUUTOKOMEZA UKIMWI 2030
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan awezesha rasilimali katika mapambano dhidi ya UKIMWI.
Kauli hiyo imebainishwa na Waziri wa Afya...
Tanzania na Uwekezaji
Barua ya wazi kwa Mhe Kitila Mkumbo, Waziri wa Ofisi ya Rais Uwekezaji na Mipango
Mhe Kitila,
Hongera kwa uteuzi wako kuongoza Wizara hii muhimu.
Umepata ubatizo wa moto...
Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa
Imeandikwa na: MwlRCT
1. Utangulizi:
Elimu ni muhimu kwa maisha na maendeleo ya...
Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya uchumi na uwekezaji. Uwajibikaji husaidia kuhakikisha kwamba serikali inatumia rasilimali zake kwa ufanisi na kwa manufaa ya umma...
Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto...
Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya jamii na ustawi wa kiuchumi. Hata hivyo, ili kuhakikisha kuwa elimu inaleta mabadiliko sahihi na yenye tija, uwajibikaji unahitajika katika kila ngazi ya...
Serikali imekuwa ikijitahidi kuboresha huduma za afya ikiwemo kuja na sera mbalimbali zinazohusu huduma za Afya lakini bado imeonekana kuna changamoto ambazo hazijapatiwa ufumbuzi ambazo...
Ili kuboresha huduma zitolewazo katika taasisi, maoni ya wapokea huduma na wananchi kwa ujumla ni ya muhimu sana kwa kuwa kupitia maoni hayo taasisi hutatua changamoto mbalimbali zinazojitokeza...
Katika kutafuta huduma mbalimbali toka sehemu tofauti-tofauti, Lugha ni nyenzo muhimu sana. Ili uweze kueleweka unachotaka, ni lazima utumie lugha inayoeleweka kwa atakaye kuhudumia. Mfanyo...
Afya ni hali ya kujisikia vizuri ki mwili , ki akili ki roho na ki utu, bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote.
Ili mtu aendelee na shughuri zake za kila siku ni lazima awe na afya njema , hii ndio...
Kilimo na mifugo katika taifa la Tanzania ni sekta muhimu sana kwa sababu inachangia takriban asilimia 40 katika Pato la taifa.
Pia kilimo ni uti wa mgongo wa nchi kwani takriban asilimia 80 ya...
Mawasiliano njia ya kupashana habari, kufikishiana jumbe na taarifa kati mtu na mtu au mtu na shirika, mwananchi na kiongozi/viongozi, mashirika kwa mashirika au viongozi kwa viongozi. Kukuwa kwa...
UTANGULIZI
Kamari imekua kimbilio la vijana wengi ambao kwa namna moja ama nyingine wanategemea ajira kama chanzo cha kujikwamua na umasikini. Kiukweli hali ya ajira ni ngumu duniani na pia...
Picha na mtandao
Habari za uchunguzi tunaweza kueleza kuwa ni zile habari ambazo mwandishi hufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo fulani, na kuja na ripoti inayojitosheleza kuhusu jambo hilo...