Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

1 Vote
UKOSEFU WA UWAJIBIKAJI KATIKA USAINISHAJI WA MIKATABA MIBOVU NCHINI. Mikataba mibovu ni mikataba ambayo haikutekelezwa kikamilifu au iliyoundwa kwa njia ambayo inaweka upungufu au kasoro...
1 Reactions
1 Replies
544 Views
Upvote 1
1 Vote
TABIA YA UWAJIBIKAJI HUTENGENEZWA NDANI YA MTU Mara nyingi mtu anapopokea cheo au nafasi flani, kwa zile siku za mwanzo huanza kwa kasi ya ajabu, lakini muda unavozidi kusonga mbele, ile kasi...
1 Reactions
1 Replies
251 Views
Upvote 1
1 Vote
Afya ni muhimu sana katika kuimarisha jamii. Jamii yenye afya bora ina uwezo wa kufanya kazi vizuri na kuendeleza uchumi wake. Afya pia ina athari kubwa kwa maisha ya kila siku ya watu binafsi...
1 Reactions
2 Replies
212 Views
Upvote 1
2 Votes
MCHANGO WA TAASISI ZA DINI KATIKA KUIMARISHA UTAWALA BORA: JINSI YA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI Imeandikwa Na: Mwl.RCT UTANGULIZI Je, unajua kuwa taasisi za dini zina mchango mkubwa katika...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
Upvote 2
1 Vote
Tanzania, taifa mahiri Afrika Mashariki, limepiga hatua kubwa katika sekta mbalimbali katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, bado inakabiliana na changamoto zilizokita mizizi, hasa katika...
1 Reactions
1 Replies
824 Views
Upvote 1
1 Vote
" Asante kwa kujiunga nami leo. Leo, nataka kushiriki nawe hadithi - hadithi ya azimio, uimara, na kutafuta furaha. Ni hadithi inayogusa kila mmoja wetu kwa sababu, ndani kabisa, sote tuna ndoto...
1 Reactions
1 Replies
190 Views
Upvote 1
1 Vote
MALENGO ni kuweza kuonyesha unapo JIAMINI unaweza fanya jambo kubwa kuwa dogo na dogo kuwa kubwa .Kama utafuata misingi bora yenye kanuni nzuri zenye tija endelevu katika jamii husika.. Kwa...
1 Reactions
1 Replies
867 Views
Upvote 1
10 Votes
Karibuni katika kuchangia mawazo ili kuweza kupata mbinu zitakazo wezesha kumnusuru mtoto wa kike dhidi ya mimba za utotoni na ukatili wa kingono,mara nyingi naweza sema kuwa serikali imekuwa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Upvote 10
3 Votes
Tanzania ina fursa kubwa ya maendeleo ya kilimo, kwani ina zaidi ya hekta milioni 44 za ardhi inayofaa kwa kilimo, na asilimia 33 iliyo chini ya kilimo. Kilimo ni sehemu kubwa ya uchumi wa...
2 Reactions
3 Replies
505 Views
Upvote 3
36 Votes
Kwanini Watanzania tunapotea katika elimu shuleni? Na kwanini tunasoma na mwisho wa siku tunakaa bila ajira? Ni kwa sababu zifuatazo KISIASA: Kisiasa elimu inachukuliwa kama chama tu ambacho...
15 Reactions
29 Replies
2K Views
Upvote 36
106 Votes
STORIES OF CHANGE JINA LA ANDIKO: MZAZI NA MABADILIKO KIELIMU. MWANDISHI; ACYER MAMU -MCHANGO WA MZAZI KATIKA MABADILIKO YA KIELIMU Kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu kadri...
46 Reactions
16 Replies
2K Views
Upvote 106
4 Votes
Sheria ni mfumo wa kanuni na taratibu zilizowekwa kwenye jamii na mamlaka kwa ajili ya kuongoza matendo na kuratibu mahusiano baina yaoili kukuza, kuendeleza na kudumisha amani, utulivu na...
2 Reactions
4 Replies
571 Views
Upvote 4
2 Votes
Mheshimiwa Ummy Mwalimu: Heshima yako Odo Ummy, Amani ya Mungu iwe juu yako, natumaini barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na ustawi bora. Kwenye wizara ya Afya, Naweza kusema Bila shaka...
1 Reactions
1 Replies
422 Views
Upvote 2
2 Votes
Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kadhaa zinazoathiri ufanisi na uwajibikaji katika sekta hii. Kwa lengo la kukuza utawala bora na...
1 Reactions
1 Replies
359 Views
Upvote 2
2 Votes
Kuleta changamoto zinazoyakumba maisha ya wengine ni kwamba wengi wetu tunakosa ujasiri wa kuthubutu na kufanya mambo mbalimbali yaletayo katika maisha yetu. Changamoto hii imekuwa ni kubwa sana...
1 Reactions
1 Replies
475 Views
Upvote 2
3 Votes
Utawala bora ni utekelezaji wa sera kwa njia ya uwazi, ufanisi, ushirikishwaji wa wananchi, uadilifu na uwajibikaji kwa kufuata misingi ya katiba na utawala wa sheria ili kulinda rasilimali za...
1 Reactions
6 Replies
990 Views
Upvote 3
0 Votes
Watu wengi wamekuwa wakilalamika sana kuhusu kuhusu ununuzi wa VIFURUSHI na makato kwenye miamala ya simu wakiona kuwa wanapata faida ndogo hususani kwenye VIFURUSHI ukilinganisha na gharama...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Upvote 0
2 Votes
Elimu rafiki, huu ni mfumo wa utoaji maarifa kwa jamii au mwanafunzi yanayo shabihiana na mazingira katika kutenda na kukabiliana na hali halisi katika mazingira hayo. Upatikanaji wa elimu rafiki...
1 Reactions
1 Replies
838 Views
Upvote 2
2 Votes
Utangulizi Hali ya ushiriki wa wanawake katika maamuzi ya afya ni suala muhimu linalohitaji kipaumbele katika jamii zetu. Wanawake wana haki ya kuchangia katika maamuzi yanayohusu afya zao...
1 Reactions
1 Replies
599 Views
Upvote 2
1 Vote
NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI UTANGULIZI Ubaguzi wa rangi, kwa...
1 Reactions
2 Replies
409 Views
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…