Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ongezeko la mahitaji ya uwajibikaji na utawala bora. Kama taifa linalopigania maendeleo ya kijamii na kiuchumi, ni muhimu kukuza mazingira...
Katika mfumo bora wa uongozi na uendeshaji wa mamlaka utawala bora ni muhimu kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na huduma sawa na zenye tija.
Katika taifa letu wimbi la uongozi m bovu katika...
Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu...
Elimu ni ujuzi anaopokea mtu kutoka Kwa we ye uekewa zaidi juu ya jambo fulani
Kuna aina tatu za elimu
1. Elimu rasmi
hii ni ule ujuzi tunaoupata kutoka a mfumo maalumu wa serikali mfano shule...
Wazazi wa kitanzania hawajibiki kwenye malezi ya watoto ambao sio wa kwake mfano: mtoto anaweza kuwa anafanya kosa aisha wanapigana na kuna watu wazima wanawaona na wasiwajaripie kwa kua sio...
Malezi Bora ya Watoto Nchini Tanzania: Kuleta Mabadiliko Chanya
Utangulizi
Malezi bora ya watoto ni suala muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo. Nchini Tanzania, kuna umuhimu...
Utawala bora na Uwajibikaji!
Hivi ni vitu gani? Nani hawajibiki? Je utawala siyo bora? Nani ni mtawala? Mtawala ndiye hawajibiki? Au anayetawaliwa hawajibiki? Kipi kinaathirika zaidi ikiwa...
Abstract:
Accountability and good governance are crucial factors in the gold mining sector in Geita, Tanzania. This sector significantly contributes to the country's economy while providing...
Mabadiliko ya uchumi wa Tanzania yanahitaji kuzingatia uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha maendeleo endelevu na kuvutia uwekezaji. Insha hii inachunguza changamoto na masuluhisho...
MADA: Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora.
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Makala...
Kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita maneno "utawala" na "utawala bora" yametumika katika muktadha wa kuhamasisha maendeleo. Utawala mbaya unatajwa kuwa kisababishi cha maovu yote ndani ya jamii...
Utangulizi:
Utawala bora ni msingi wa jamii inayofanya kazi vizuri na yenye ustawi. Inajumuisha kanuni kama vile uwazi, uwajibikaji, utawala wa sheria, na ushiriki wa raia. Ingawa kanuni hizi ni...
Kwa miaka mingi kumekuwa na hali duni katika sekta ya michezo nchini na hii ikijumuisha michezo yote ikiwemo mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa mikono, mchezo wa ngumi, michezo ya madola...
Kazi ni nini?
(Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu).
Kazi ni utumiaji wa nguvu,juhudi, maarifa katika jambo au jitihada, bidii, utendaji.
Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka na wimbi...
Kumekuwako na hali ya kujitokeza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto, upotofu wa maadili pamoja na vifo vya wanafamilia, mke, mume, Watoto ama wanandugu wakati mwingine bila sababu...
Katika jamii zetu za Kiafrika hasa Tanzania elimu ni kitu ambacho kimepewa umuhimu tangu mtoto anapofikisha miaka miwili anapelekwa shule za chekechea kuanza kusoma. Wazazi wengi wamekuwa na dhana...
Moja ya mambo muhimu tunayopaswa kuyafahamu kwa kila Muafrika haswa nchi zinazotaka kujitoa katika dimbwi la umasikini, ni lazima lizingatie umuhimu wa kuwaamsha kifkra vijana ili kuwaza zaidi...
KUWEKA MISINGI BORA YA UONGOZI KWA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII
Imeandikwa na:Mwl.RCT
***
Utangulizi:
Katika ulimwengu wa leo, maendeleo na ustawi wa jamii ni mada muhimu sana. Uongozi una jukumu...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea kukua kiuchumi duniani na afrika kwa ujumla.Aidha nchi mbalimbali kama vile Nigeria,Afrika kusini,Ethiopia na Kenya ni nchi zenye uchumi mkubwa kusini...