Utangulizi
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa ya ongezeko la deni la taifa hadi kufikia Trilioni 91.7. Huku deni likiongezeka kwa kasi kila siku...
UTANGULIZI
Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao ni wahanga wa ajira za serikali baada ya kuhitimu elimu yangu ya juu na ni takriban miaka minne sasa niko mtaani ninatrust process lakini...
I. Awakening the Digital Nation
The familiar hum of drones fills the air in Dar es Salaam, seamlessly delivering medical supplies and groceries, bridging the gap between urban centers and rural...
Hivi kila mmoja wetu hapa si anaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, ni wazi kila mmoja wetu hapa anaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, hivi...
Kuanzishwa kwa mfumo wa kazi za mkataba kwa vijana nchini Tanzania kunatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii, na kisiasa kwa miaka mitano ijayo.
Mfumo...
TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini.
Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu...
Elimu ya Tanzania imekuwa chanzo moja wapo cha kuua vipaji vya watoto ambavyo walikuwa navyo tangu wakiwa wadogo. Kwa mfano mtoto mwenye ndoto ndoto ya kuwa rubani ana haja gani ya kusoma historia...
Hivi karibuni jijini Dar es salaam, tukiwa tunapambana kuingia ndani ya basi la Mwendokasi lililokuwa ‘limeshona’ abiria, nilimsikia mwenzangu mmoja akisema kwa uchungu, “Kama Mwendokasi inatutesa...
Utangulizi.
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania...
Familia na dini zimekuwa zikiaminika kama taasisi muhimu katika hatua za awali za malezi na makuzi ya watoto wadogo na hata vijana wa rika balehe kwa kuwapa mafunzo na miongozo inyowajenga...
Katika kutafuta Tanzania yenye maendeleo endelevu na ustawi wa jamii, sekta ya elimu imebeba jukumu kubwa na la msingi. Elimu ni ufunguo wa maendeleo na mabadiliko chanya katika jamii yoyote ile...
Tumeona serekali yetu ikitekeleza miradi mipya ya kimikakati mikubwa kama ujenzi wa reli ya kisasa mabasi ya mwendo kasi na bwawa la kufua umeme la mwalimu nyerere hii yote ikiwa ni mipango na...
Katika nchi nyingi za kidemokrasia raia wana jukumu kubwa katika mchakato wa kupanga bajeti ya nchi, kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na mwitikio kwa mahitaji ya Umma. Miongoni mwao nchi hizo ni...
Namuomba Mwenyezi Mungu ajaalie andiko hili liwe lenye manufaa kwa Nchi yangu na kwa kila atakayebahatika kulisoma.
Ama, kwakuwa ni mpenzi wa lugha asharafu ya kiswahili na pia ni Mtunzi wa...
Utangulizi
Lugha ya Kiswahili ni moja kati ya lugha zinazokua kwa kasi ndani na nje ya bara la Afrika. Mpaka sasa, takribani nchi zaidi ya kumi zinatumia Kiswahili barani Afrika kama lugha ya...
TANZANIA TUITAKAYO : ELIMU YA VYUO VYA UFUNDI IWE LAZIMA KISHERIA KWA VIJANA WOTE WANAOSHINDWA KUENDELEA ELIMU YA JUU.
UTANGULIZI.
Awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa...
Hili ni suala dhamira ya kuelekea mustakabali wa Tanzania katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Kwa muhtasari, maudhui muhimu yanayoweza kuzingatiwa ni:
1. Maendeleo endelevu na upatikanaji wa...
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo mabadiliko ya kiteknolojia na kijamii yanaendelea kwa kasi, nchi nyingi zinafikiria mbinu za kipekee za kushughulikia masuala ya ajira na ustawi wa kiuchumi. Moja...
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, imekumbwa na changamoto ya rushwa kwa muda mrefu. Hata hivyo, inawezekana kufuta kabisa tatizo hili kwa kutumia mikakati madhubuti. Mataifa mbalimbali, hasa...