Kama tusomavyo kilimo ni UTI wa mgongo pia tunaweza kusema kilimo ni mtaji chakula na fedha Kwa taifa ni kama kilimo kitafanyika Kwa Kwa usasa hasa kuzingatia mbinu sahihi za uzalishaji wa mbegu...
Siasa na utumishi wa uma ni vitu viwili tofauti. Utumishi wa umma ili uwe bora basi jukumu la kutenganisha taaluma za kisiasa na taaluma za mambo ya utumishi wa umma ni muhimu. Tanzania...
Ili kuendelea na kasi ya kuendana na ukuaji wa teknolojia na mifumo ya mitandao upo umuhimu mkubwa wa Tanzania kuingia kwenye utumiaji wa vifaa vya kisasa vya kuendeshea chaguzi mbalimbali za...
Kukuza Sekta ya Habari na Mawasiliano kwa Tanzania Ijayo
Sekta ya habari na mawasiliano ina jukumu muhimu katika maendeleo ya jamii, uchumi, na demokrasia katika Tanzania. Kwa kuangazia...
TEKNOLOJIA INAVYOBADILISHA SEKTA YA UVUVI NA KUJENGA TANZANIA IJAYO.
Sekta ya uvuvi inashuhudia mabadiliko makubwa yanayotokana na Matumizi ya teknolojia katika shughuli zake.kupitia Matumizi ya...
Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na idadi kubwa ya vijana kwa mujibu wa sensa.
Napendekeza Tanzania tunayo itaka ione hii kama fursa kwa maendeleo ya nchi,
Kama vile ikitokea janga la njaa...
Asante sana JAMII FORUMS kwa kutuletea STORY OF CHANGE.
Bila shaka viongozi wamekuwa wakisikia changamoto ya maji karibia TANZANIA nzima, ama kwa hakika TANZANIA TUITAKAYO ni ile ya viongozi...
Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila...
Kama ijulikanayo kuwa jamii isiyo na elimu bado iko gizani, tena giza haswa ikizingatiwa sasa dunia imeshapiga hatua kubwa kwenye matumizi ya teknolojia. Hivyo hata kila Taifa liko haile haile...
Tunaona kuna wabunifu walishatokea ambao hawakuwa na elimu ya kutosha kuweza kuendeleza vipaji vyao.
Hii italeta maendeleo makubwa sana kwa Elimu ya ufundi upande wa Engineering.
Endapo kama...
Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule.
Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa...
Ajira ni tatizo sugu duniani kote hasa Kwa vijana walio wengi.ila tunaweza kujitafuta wenyewe kama taifa Kwa miaka mitano mpka kumi kujikwamua na janga la ukosefu wa ajira Kwa vijana waliopo...
Kwa dunia ya leo ya ulimwengu wa kidigitali, ni lazima somo la hisabati lipewe kipaumbele kwakuwa ni msingi wa program nyingi za teknolojia ya kisasa. Mifumo mingi ya kidigitali tutanyotumia leo...
Empowering Tanzania: A Strategic Shift Towards Off-Grid Renewable Energy
Introduction
In the heart of Tanzania, young Amina studies by the dim light of a kerosene lamp, her aspirations of medical...
Mnamo tarehe 9 Desemba 1961, Tanganyika ilijipatia uhuru wake kutoka kwa koloni la Kiingereza. Wakati huo, alikuwepo gavana aitwaye Sir Richard Turnbull. Gavana wa kikoloni huku Tanganyika alikuwa...
Tanznaia Tuitakayo katika sekta ya UVUVI
UTANGULIZI
Tanzania tuitakayo kwa miaka miatano ijayo ni Kuona wavuvi wananufaika na Rasilimali za Uvuvi na zinabadilisha maisha yao kwa Ujumla.
Ifike...
Chanzo: Latest news and case studies
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyojengwa kwa taswira ya amani na usalama kwa raia. Hii imepelekea nchi yetu kutambulika kama kisiwa cha amani. Licha ya sifa...
Tanzania ni nchi inayotambulika kama nchi ambayo inafuata misingi ya kidemokrasia africa na duniani,ni jambo la kupongezwa na kuendelezwa pia kulindwa vizazi na vizazi
Uongozi na viongozi...
Traffic congestion is a major challenge in Dar es Salaam, Tanzania's largest and most economically significant city. With its rapid population growth and urbanization, the city's infrastructure...
INTRODUCTION
It is no secret that the digital world is currently a very lucrative jobs market in the world and it keeps on growing rapidly. The digital space is taking over most of the jobs...