Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

0 Votes
Kuanzia mwaka 2025 hadi 2030, Tanzania imekuwa shuhuda wa mabadiliko makubwa na mafanikio katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hapa chini ni muhtasari wa story changes ambazo zimejitokeza katika...
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Upvote 0
19 Votes
Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo...
12 Reactions
54 Replies
1K Views
Upvote 19
0 Votes
Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Upvote 0
1 Vote
Asante kwa wewe ulieingia kwenye huu uzi,ili kufahamu ni jambo gani hasa lililobeba maono ya Tanzania ijayo. Kwanini ni jambo ambalo nimelipa jina la hisia basi karibu na tiririka mpaka mwisho...
0 Reactions
1 Replies
474 Views
Upvote 1
1 Vote
MUDA ni sehemu muhimu sana katika mpangilio wa mambo mengi duniani, na hii ni tangu kwa kuumbwa kwake, kutokana na maandiko ya vitabu vya dini, vimeandikwa kwamba hata Mungu aliutumia muda katika...
1 Reactions
1 Replies
182 Views
Upvote 1
2 Votes
Serikali imekua ikiwekeza nguvu katika tafiti za madhara ya vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy drink), Tiba asilia na Matumizi ya pombe katika afya ya Figo, Ini na Moyo. Matumizi mabaya ya Dawa...
1 Reactions
3 Replies
408 Views
Upvote 2
1 Vote
UTANGULIZI Nitumie fursa hii kuwasalimu wapenda soka wote mlioko humu ndani jamiiforum pia wapenda maendeleo kwa ujumla.Mafanikio ya mpira wa miguu ni matamu sana lakini yanahitaji maandalizi ya...
1 Reactions
3 Replies
284 Views
Upvote 1
4 Votes
MALEZI YENYE MISINGI YA KUMCHA MUNGU, UWAJIBIKAJI NA KURIDHIKA. Katika miaka ya sasa hivi wazazi wengi wamekua wakijikita sana katika shuguli za utafutaji kiuchumi ili kukidhi mahitaji ya familia...
2 Reactions
1 Replies
303 Views
Upvote 4
2 Votes
Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25 Ila katika kila point...
1 Reactions
4 Replies
265 Views
Upvote 2
1 Vote
Serikali itoe fursa kwa vijana wenye vipaji na uwezo Serikali tungeomba iwape fursa vijana wenye uwezo na taaluma mbalimbali tanzania tumejaliwa kuwa na vijana wengi wenye uwezo mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Upvote 1
2 Votes
UTANGULIZI Miundombinu ni moja ya nyenzo kubwa inayo tumika kuleta maendeleo nchini kwasababu inachangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya sekta nyingine kama vile sekta ya elimu, afya, biashara...
1 Reactions
1 Replies
284 Views
Upvote 2
1 Vote
UTANGULIZI Dunia iliumbwa kwa misingi ambayo ni sawia kabisa. Nikiwa na maana ya kwamba kila pande ya dunia kuna namna ilipewa rasimali ambazo zitawasaidia wakazi wa eneo hilo, kuweza kuendesha...
1 Reactions
3 Replies
276 Views
Upvote 1
0 Votes
Kuwepo kwa shule za vipaji nchini tanziania ili tuwe na nchi yenye uchumi wa juu zaidi inabidi tuboreshe mfumo wa elimu. Tanzania tunabidi tuanzishe shule za vipaji kwa kuanzia watoto wadogo...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Upvote 0
1 Vote
Taifa moja Tanzania ikiwaza, ikiongea na kusikama kama mtu mmoja nani awezaye kutuzuia? Tuanze kupiga picha Taifa hilo litaonekanaje, na ungejisikiaje kuwa raia wa Tanzania hiyo, majukumu yako na...
1 Reactions
1 Replies
200 Views
Upvote 1
0 Votes
ᴍᴏᴅᴇʀᴀᴛᴏʀ ᴇɴᴛᴇʀꜱ ᴀ ᴍᴇᴇᴛɪɴɢ ʀᴏᴏᴍ , ᴇᴠᴇʀyᴏɴᴇ ɪꜱ ʀᴇᴀᴅy ;ᴀɴᴅ ᴛʜᴇ ᴍᴇᴇᴛɪɴɢ ʙᴇɢɪɴꜱ Moderator: Welcome, everyone, to this discussion on Transforming Tanzania through ICT. Let's start with the government...
0 Reactions
3 Replies
217 Views
Upvote 0
1 Vote
Utangulizi, Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, utamaduni na watu wenye bidii, inahitaji mabadiliko ya kimkakati ili kufikia mustakabali bora kwa vizazi vijavyo. Ni wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Upvote 1
0 Votes
Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya...
0 Reactions
2 Replies
181 Views
Upvote 0
1 Vote
Kwa Tanzania ijayo Kuna marekebisho mengi ambayo yanaweza kufanyika katika sekta mama ya ya elimu hapa nchini Tanzania na ili kuboresha mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Upvote 1
4 Votes
Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na utamaduni, imekuwa ikipiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hata hivyo, ili kufikia ndoto ya Tanzania tunayoitaka, kuna mambo kadhaa...
1 Reactions
1 Replies
251 Views
Upvote 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…