JIUNGE NA HOPE NA SUCCESS CLUB (HIP CLUB) KWA MAFANIKIO YAKO
1. UTANGULIZI
HIP Club ni chama cha kijamii kilichoanza kazi zake tarehe 3 Machi 2014 na Kupata usajili kwa mujibu wa sheria ya...
Habari wana jf...naamin wote wazima na mwaendelea vema kusukuma gurudumu la taifa ...mimi ni binti nilieamua kujiajiri..nashughulika na mapishi aina yote..napika vyakula vya kila aina..naomba...
Je una mayai lakini huna mashine ya kutotoresha na unaishi maeneo ya kanda ya ziwa hasa karibu na kahama. Huduma hii inapatikana njoo na mayai ili upate kutotoreshewa. Hii ni kwa ajili ya watu...
Kilimo cha Red worm kwa huku kwetu bado tuko nyuma ila kwa wenzetu Red worm ni biashara na red worm ina kaz nyingi sana na faida kubwa mno.
1. Kulishia kuku- Ina kiwango kibwa sana cha protein...
Tafadhali kwa yeyote ambaye anajua location ya BBone electronics nimekutana nalo kwenye online shoping website moja but nataka siku moja nilitembelee hili duka, Thanks.
Waungwana mwenye Kware weng majike na anashida ya madume kwa ajili ya mbegu tubadilishane maana ninamadume meng had majike hawana raha hapatuli bandan, hata10 nitawafata kokote ulipo dar hii
Jamani naomba kuulzia kama kuna fundi welding humu ndani au mtu yeyote anaye mjua fudni welding anaye tengenza mabanda ya biashara yale huwa ni shilingi ngapi na yana ukubwa gani kama kuna mtu...
Dear Friends in Arusha
Jinsi kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji mkubwa kwa muda wako wa ziada.
Tar 1. Mei Mosi, tunawakaribisha kwenye oriflame mega event itakayofanyika New Safari Hotel...
Dear Friends in Arusha
Jinsi kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji mkubwa kwa muda wako wa ziada.
Tar 1. Mei Mosi, tunawakaribisha kwenye oriflame mega event itakayofanyika New Safari Hotel...
Hivi najiulizaga Sana kwa nn watu wanapo staafu katika organization mbali mbali asa Hupendelea kufanya shughuli za ufugajii kwani hakuna mbinu nyingine ya kufanya mbka hiyoo,
nataka kujikwamua na huu umasikini, sitaki kuendelea kuilalamikia serikali kwani naamini mabadiliko huletwa na mimi mwenyewe.
:>> Nina eneo huko mlandizi sehemu inaitwa ngeta, nataka nianze...
wana jamvi, kuna mtu anataka ku invest tanzania lakini hataki invest ndogo ndogo walau anataka sehemu ya kuwekeza ela isiyo pungua tshs 1 billion. Je sehemu gani anaweza wekeza na akawa sure...
Je?
Ulishawahi kufikiria au kuwa na mawazo ya kufanya biashara ya microfinance(kushughulika na utoaji wa mikopo) ila hauna utaalamu huo, mtaji wa kutosha au muda wa kufuatilia biashara hiyo...
WAKUU MIMI NINATAFUTA WATU WA 8 TUWEZI KUSHIRIKIANA KWENYE KUSINDIKA MAZAO NA KILIMO CHA MAHINDI, MAHARGE, ALIZETI, MBAZI NA UFUTA . WATU HAO (8) TUTACHANGA MTAJI WA KUNUNUWA TRECTA JIPYA...