napenda kujua kutoka KWA serikali na pia wenzangu humu ndani, nakubali kuwa ilianzishwa programme ya kufundisha vijana Ujasiriamali na kutakiwa kuunda vikundi ili tukopesheke. swali langu NI je...
Wakuu Habari? Samahani naomba kujua bei ya kilo moja ya Korosho kwa sasa na zinapatikana wapi? na je mtu binafisi anaweza pata? au ndo mpaka kwenye vyama vya ushirika. ni zilizo banguliwa lakini.
Ni vifaranga venye umri wa wiki 5, ni vifaranga vya kienyeji pure. Nimevipa Chanjo kwa kufuata utaratibu unaotakiwa. Vilevile chakula nawapa STARTER.
Kwa Jana tu vimekufa vifaranga 4...
kwa wale wanaohitaji mayai ya kware na vifaranga tuwasiliane kwa namba hii 0789 411114.
kama wewe ni mara ya kwanza kufuga kware ninakukaribisha ujifunze jinsi ya kuwafuga na kuandaa mabanda yao.
Habari wadau naomba mnijuze nimkoa gani TZ. Wanapo lima mdalasini? Na je utumika kwa matumizi yapi ukiacha kua viungo vya chakula? Nilipi soko la uhakika wa zao hili??
mi ni kjana mjasiliamali mfugaji wa kuku wa kienyeji naomba kujuzwa kuhusu sehemu ambapo naweza kupata machine za kutoleshea kuku (incubators) na vifaranga wa kuku aina ya kochi asanteni wana jamvi.
Ni mara nyingi tu nimeshawai kuona watu wakifuga ndege wa aina tofauti tofauti wa porini. Huwa nasikia wana faida nzuri" nigependa kujua hii biashara ikoje? kwa anaejua.
Habari zenu wakuu,
Natafuta soko la Kuku wa kienyeji kwa mikoa ya Dar, Tanga, Moro, Dom na Pwani. Kuku wapo kwa idadi yoyote itakayohitajika kwa bei nafuu ikiwa ni pamoja na usafiri hadi ulipo...
Kitabu (Pocketbook) cha Jinsi ya Ufugaji na Kufanya biashara ya Kwale kipo sokoni sasa.
Yaliyomo ni:
Kwale na aina zake, Ufafanuzi wa Japanese Quail,
Utagaji wa Mayai ya Kwale,
Ufafanuzi wa...
Salute wana Jf,
Wakuu nina biashara ya samaki waliokaangwa moja kwa moja kutoka ziwa victoria na kuja kuwauza hapa Dsm, nimefanya hvo kwa kuwa samaki wakikaa kwenye mafreezer kwa muda mrefu...