MWANA JF: UNAKARIBISHWA KWENYE SEMINA YA UJASIRIAMALI WA JINSI YA KUANZA BIASHARA YENYE MTAJI MDOGO YAANI KUANZIA LAKI TATU NA TISINI HADI MILLIONI 3.
SEMINA ITAFANYIKA PALE ALDUA TOWER, JENGO...
Nauza Kuku wa Nyama ( broilers), Idadi ni 1000, Wenye Uzito Wastani Kg 1.5, Nipo Maeno ya Mzinga Sec M/Gati-Kitunda , Dar es salaam Bei 5000, Piga Simu ; 0769513897
Nimeambiwa kilimo cha muhogo na vitunguu ni kilimo chenye tija na faida kubwa sana kulinganisha na mazao mengine, kwani zina soko zuri na la uhakika, kwa anaefahamu juu ya kilimo cha mazao haya...
Habari.
Kutakuwa na mpango wa kutembelea shamba darasa la bwawa la samaki katika eneo la kibaha kwa mathias katika siku ya jumatano tarehe kumi na tano, alhamisi na ijumaa kutembelea bwawa hilo...
Za muda huu watafutaji wenzangu. Mimi nina mambo machache naomba kujuzwa na kusaidiwa kupanua upeo.
Kwa muda sasa nimekuwa na biashara yangu kichwani na kuiandalia business plan. I see myself...
Kwa kweli wadau mimi nilikuwa mbishi sana kuhusu suala la kujiajiri kupitia hii kampuni inaitwa TREVO baadhi mmesikia ama mlishajiunga zamani, mshikaji yeye aliingia siku nyingiiiii, kuanzia mwezi...
habar njema kwa wajasiliamali wenzangu,kwa mahitaji yako ya vifaranga chotara,mayai na kuku piga namba 0789 123461 utahudumiwa haraka,bidhaa zetu ni bora sn.
ndugu Marafiki. Nipo katika wilaya moja huku Kanda ya ziwa. Katika kuhangaikia maisha nimeona ni vyema nikajiingiza katika biashara japo mimi mfanyakazi. Kuna mtu alinipa wazo la kufanya biashara...
Nauza kuku Unaowaona pichani, ni wakubwa wazuri hawana tatizo lolote. Kuna wanaotaga kwa sasa na wanaotarajiwa kuanza kutaga muda wowote kuanzia sasa. Nauza na majogoo wote. Atakayenunua kuanzia...
Kuna msemo unaosema usitazame na kutamani mafanikio ya mtu peke yake, tazama pia na njia alizopitia kufikia mafanikio hayo. Si kwa kilimo pekee ni katika jambo lolote lile ulifanyalo utakumbana...
GREENHOUSE FARMING IN TANZANIA
Greenhouse ni nyumba ya kudumu ilyo zungushiwa kioo ama plastic ambzao humuwezesha mkulima kufanya shughuli zake za kilimo akiwa ndani ya chumba ambacho kina joto...
Wakuu habari zenu? Natumaini wote mu wazima wa afya....MImi nilikuwa naomba ushuri wenu, nina eneo kisarawe lenye ukubwa wa takribani eka kumi sasa kwa ukanda ule wa mkoa wa pwani mnaweza...
Naomba wajasiriamali au wafanyabiashara tupeane uzoefu hasa kwenye kuajiri:
1. Unatumia vigezo gani kumuajiri mtu?
2. Unapataje mtu sahihi wa kukufanyia kazi zako?
3. Unatumia vigezo gani...
Habarini za saa hizi waungwana ?samahan naulizia ni biashara gan ya kutoa vitu vijijin na kuvileta mjini inalipa zaid?naomba msaada wenu tafadhali.asanteni
Kwa yeyote anayefahamu, ninaomba anipe taarifa sehemu gani nitapata unga wa mbegu za mchicha na dawa inayoitwa kupona hapa Dar Es Salaam.
Ahsanteni sana.
nina mil 15 kama kianzio,ninampango wa kufungua duka la jumla la vitu mbali mbali kama unga,sabuni,maji,vocha,sabuni n.k...nipo kimara
mwenye uzoefu na biashara hii naomba aniambie changamoto...