Mm nikijana mwenye miaka 21 Niko hapa kujifunza mengi pia kupata tarifa mbali mbali toka kwenu natoke Kilimanjaro same itifaki imezingatiwa Asante sana
Habari za wakati huu wakuu!! Nimekuwa nikifuatilia Jamii forums kwa muda sasa lakini mara zote nikiwa kama guest user.....siku za karibuni nilikata shauri na kuamua kujiunga kama mwanachama rasmi...
helooow JF members.
i'm a new member in this forum and i humbly ask for your cooperation during sharing, commenting, suggestiong or anything related in here.
Habari gani ndugu zangu? nimerejea tena kwenye hii platform inayojenga, fundisha, kufurahisha n. k.
Matumaini yangu mtanipokea tena kwenye hii familia japo nilipotea muda kidogo kutokana na...
Jina naitwa Reagan. Ni kijana mdogo kabisa ambaye nipo hapa kujifunza mengi jutoka kwenu wakubwa zangu. Hitifaki imezingatiwa
Natokea Tanga Tanzania. KARIBUNI SANA
Ndugu WanaJamii Habarini za Asubuhi na Poleni sana na mambo yanayo-trend mitandaoni kwa sasa.
Nilijiunga na Jamiiforums mwaka 2008 lakini sikuwa active na baadae nikaacha kabisa ku-login. Na...
Habari zenu ndugu zangu. Kama nilivyoandika hapo juu, ninayo heshima ya kujitambulisha kwenu kama Mr teledam. Nataraji kupokewa na kupewa maelekezo yoyote ambayo yatakua na tija ili azma yangu ya...