JF Members wenzangu,....sitawaangusha Watakaotegemea mchango wangu,kimawazo nitahakikisha nakuwa Genius na kutoa ushauri as a gentleman.
Naomba mnipokee.
Habari, mimi ni mgeni humu jamii forum tokea nijiunge naishia kusoma thread zilizotumwa na wengine tu, mara nyingi nawaza kama naweza nikatuma thread yangu na ikakubalika! Naombeni mnipokee...
Wadau hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jf, mnipokee mja wenu, natumai tutakuwa wote na tutashirikiana vema katika mambo ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuendeleza mshikamano.
Nipo kwenye...
Naomba kuelekezwa namna ya kutumia jamii forum kwenye PC, napata wakati mgumu kuandika kwa simu. Yeyote alie na ufahamu anielekeze hatua kwa hatua. Ni hayo tu waungwana...
Kwema wadau wa jf.
Nashukuru kuwa miongoni mwa watu wanaonufaika na uwanja bora kabisa wa fikra pevu za watanzania wenye nia njema na taifa lao na wachache wenye nia mbaya na bila kusahau group la...
Wadau, jana rafiki yangu alikuja kwangu akataka nimwonyeshe namna ya kuwa na account ya jamiiforums, ili aweze kutaga zangazo lake. Tulifanikiwa kifanya registration
Sasa kila akitaka kuedit thred...