Asslm aleikum.. Ramadhan Karim..
Just nakuja kuowaoneni after looooong kupotea. Hamjambo nyote. Jana nilipata email kutoka JF kunikumbusha kama sijapita siku nyingi. Nawashukuru JF team...
Mkumbuke hiyo tarehe maana JF toka nimeanza kuijua mwaka 2010 nipo kidato cha tano pale Minja secondary school tarehe 1 mwezi 7, 2016 ndio nimeweza ku~log in nakushare matatizo ya jamii yetu...
Habari zenu wapendwa, Nili disappear kipindi kirefu lakini kama kawaida we always find our way back home...
It feels good to be back here once again!
Salam kwenu wote..
habari ndugu zangu great thinkers! mm ni kijana mwenzenu naishi kigamboni ni mpya katika ukurasa huu wenye kila kitu hasa maarifa ambayo mwanadamu anahitaji tena solved...
nashuhulika na uwakala...