Distinguished Ladies and gentlemen! i have seen the light which brought me here.
your humbled, sincere, wise and straight advice and contributions will keep me growing and more wiser than i am...
Am glad to be among the great thinkers, I pledge my loyalty to my fellow members and promise to be honest and open, respect others contribution and opinions and finally to conduct my self in...
hodi hodi humu..!
mi naitwa patience pb rutta wa bukoba nilikuwa naomba tuwe wote,mi nimemalza kidato cha nne nategemea kwenda cha 5 mwezi wa 7,FOR SURE JAMII FORUM IS A PLACE TO BE!
Habari zenu waungwa ...mim ni mgeni humu ndani ,,,sijui vizuri jinsi ya kucreate mada kwenye segment ya mahusiano na mapenzi nimeitafuta sana hapa sehem ya create thread siajiona wakongwe wa hii...
Hii Tanzania ni nchi nzuri sana aisee, kigezo cha kuwa dereva wa mbunge au waziri ni uwe na cheti cha form 4 haijalishi wewe ni kilaza au lah! lakini kigezo cha kuwa mbunge ni uwe na umri kuanzia...