Habarini marafiki wote humu mjengoni natumai nitapata marafiki wazuri na wema wa kuwa pamoja nao nafurahi kuwa mmojawapo wenu kwani nilikuwa guest kwa muda mrefu na sasa nimeona nijiunge rasmi...
Habari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya.
Nimekuwa nanufaika na michango, mawazo, na habari nyingi ndani ya JF, kwa miaka mingi sasa.
Natoa hongera kwa wanachama wote na hasa kwa Founder...
Heshima kwenu wakuu.. nimekua nikiperuzi kwa muda mrefu lakini sikuwa nimejiregister. Nimeingia sasa kwa miguu yote.
Nimenishawishi sana watu mnajua vitu mpaka basi aisee. Amebarikiwa Preta...
wenyeji wote habari zenu ,mimi ni mgeni katika nyumba hii ila hapo mwanzo nilikuwa nikipita nje na kuisoma tu, lkn nimevutiwa na vilivyomo ndani yake naomba mnipokee aksanteni