Hoji jf. Baada ya kuingia mjini week iliyopita rasmi naomba niungane na ninyi. Wanaume wa dar salam habari zenu. Kuanzia leo rasmi mimi ni mwanaume wa dar. Asikuambie mtu kuwa mwanaume wa dar ni...
Mimi ni mgeni humu ndani jamani, nilipata shida kidogo kujiunga na kutambulika kama member kamili lakini hatimaye nimejiunga. Nikaribisheni ndugu zangu[emoji120]
Mimi ni mwana jf mgeni humu, kwa nia ya dhati kabisa naombeni ushirikiano wenu na nina ahidi kuwa mwadirifu kwa kuzifuata sheria za jf pia kuwaheshimu wote. kwa jina naitwa TIZO ZIHABANDI ASANTENI