Habari wana jf.
Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa...
Hodii!
Id ni Arakei, nmejikita kwenye Graphics, i.e Graphics Design, Digital Art Painting, Photo Manipulation , Photo Restoration na mambo ka izo...
Napenda andika , ziwe idea, maoni, stories...
Hello JF members mimi ni mgeni humu but nafurahi sana kuwa nanyi.
NI MTAALAM WA MAMBO YA FUATAYO:
digital
medical
movie reviews
mobile
Kama unatatizo au swali kwenye hizo sekta kuwa free...
Habari wana jamii forums,
Naomba kuchukua wasaa huu kujitambulisha kwenu kama mgeni ndani ya jamii forums ili mtambue uwepo wangu! Sijamaliza hata mwezi ndani ya jamii forums, hivyo nina kila haki...
Hodi humu ndani, nimekuwa natembelea jf kama guest kwa muda mfupi lakini nimeona ni kwa namna gani jf ni sehemu ambapo huwezi boreka kwa namna yoyote maana imekamilika.
Naamini hamtanitenga.