Ni siku ya majonzi makubwa sana kwa wapenda Amani wote siyo kwa mkoa wa Arusha au Kwa Kanisa bali ni kwa watu wote, ni wakati wa kuunganika wote kulaani hili tukio la kijinga katika nchi yetu
Nimetua rasmi hapa jukwaani...
Je, Fred Mushi ni nani?
Mimi ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro...
Kwa nafasi yangu hii..
Ni mjumbe wa Baraza Kuu-UVCCM Taifa..
Ni mjumbe wa...
My ID speaks for itself! I have ambitions to fulfill and JF happens to be an important link in the roadmap! I am looking forward to cooperating with you my colleagues as we struggle to make life...